figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #1,421
Urusi wananifanya wajanja kufika Vifaru kwenye vichaka, tunafichua. Hii ni T-80BVM ya Urusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nimeona mpaka Wizara ya Ulinzi ya USA imepost twitter. Hii vita ndio kwanzaa inaanza.Hizi ni Silaha aina ya M777 155mm howitzers za marekani California. Zimepelekwa Ukraine
View attachment 2203042View attachment 2203043View attachment 2203044View attachment 2203045
Mimi hii style nimeipenda. Mzigo ukishafika salama, ndo wanapost kwwmba sasa tunapeleka mzigo. Kabla ya mzigo kufika hawaongei. SafiHii nimeona mpaka Wizara ya Ulinzi ya USA imepost twitter. Hii vita ndio kwanzaa inaanza.
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Ni WA nchi gani mkuuHawa jamaa wanaitwa YPG fighter, walikuwa wanapambana na Islamic state Army. Wameletwa Ukraine kusaidia kulinda mji wa Kiyv. Wanaweza kwenda Mariupol wengine
View attachment 2203324
Hawa ni Kurdish. Ila wapo mchanganyiko wa watu mataifa mbalimbali ambao wanaunga mkono mapambano ya Marekani. Hawa ni mercenaries kutoka nchi mbalimbali waliokuwa Syria wakipambana na ISIS. Wanalipwa na Mataifa ya Magharibi