Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanajeshi wa Ukraine wakifundisha Jinsi ya kutegua bomu la Ardhini. Ni rahisi sana
 
Angalia jeshi la pili la dunia la Urusi walivyokuja kuiba Ukraine. Wanaiba televisheni, mashine za kufulia, baiskeli, simu, laptops. Lakini kuna kitu hakipo sawa. Mwanajeshi kuiba
 
Ufaransa wanaleta haya Huu mzigo Ukraine
1651769897548.png
1651769911185.png
 
Hii spotters imekaa kama gemu, lakini ndo Warusi wanakufa. Kabla ya kuachia bomu wanaangalia litue wapi. Hizi ndo Silaha za kisasa. hata uwe nyuma ya Mlima unaonekana hadi ndani ya handaki. Wanaoshambulia wapo mbaali wanakunywa uji..hahaa
 
URUSI: Hapa ni Wilayani Dzerzhinsk Mkoani Nizhny Novgorod . Asante LEGION
 
URUSI: Habari njema. Kikosi cha LEGION, kimeweza kuteketeza Magari ya Jeshi Mkoani Tver. Huu mkoa zamani Ulikuwa unaitwa Kalinin, upo Magharibi mwa urusi. Malori 38 yameteketezwa Usiku wa kuamkia leo
1651771390228.png
1651771403843.png
1651771421200.png
 
hahahaaa...
 
URUSI: Jeshi la Ukombozi la Urusi, LEGION linaendelea kushambulia Kambi za jeshi la Urusi. Hapa ni Mkoani Krasnoyarsk Mashariki mwa Urusi. Hii ni hifadhi kubwa ya polyethylene
 
Ukraine washapata vifaa, Urusi watakoma. Siku nyingi nilikuwa sjawapost kikocha cha airborne Sicheslav. Angalia kazi yao, Hiki ni kikosi cha anga cha Ukraine
 
Angalia camera ya Sniper Maarufu ilichorekodi. Hahahaa
 
Hahahaaa... Warusi bana
 
Hii ni ramani ya Ukraine. Ndani ya miezi miwili, hiyo sehemu yenye rangi nyekundu, ndipo Urusi wamefanikiwa kufika. Hata robo ya Nchi hawajafika.
1651773056735.png
 
Back
Top Bottom