Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kiongozi wa Azov, Komando Lt-Col Denys Prokopenko. Amesema hawatajisalimisha pamoja na kwamba wanaishi mazingira magumu.
1651824245622.png
 
Asante Mkuu,hapa sasa nimeelewa kwa taarifa za media nikadhani wanajeshi pekee waliobaki ni hao tu wa kiwandani kumbe mapambano yanaendelea na wengine wapo nje
Yaani hawa waliozungukwa ni wanajeshi wenye mafunzo ya hali ya Juu, ndo maana Ukraine hawataki kuwapoteza. Changamoto iliyopo ni Jinsi ya kuwafikishia Silaha, sababu njia zinazoelekea Mariupol zimefungwa, madaraja yamebomolewa. Mikoa ya Jirani imeshikiliwa na Urusi. So hadi upambane Wilaya za Jirani Ushinde ndo Uingie Mariupol, ndicho kitu kinafanyika. Ila naamini Wamarekani wakiwapa hela nono wanaweza kwenda kusaidia. Siku kadhaa nyumba Urusi ilidai kwamba wameukomboa mji wa Mariupol wakaanza kuondoka, baada ya siku mbili waliowaacha wakazidiwa nguvu. Sasa wanatumia Ndege na Makombora ya Masafa marefu. Azov hawana Vifaa vya Kuzuia, ndicho kinawatesa. So wanataka wawanyong'onyeshe ndo Askari wa Miguu waingie kiwandani. Najipa Moyo kwamba Azov ni Wanajeshi wana mbinu za kivita. Tujipe muda tuone itakuaje. Azov bado wanawasilina na Waliopo nje ya Mariupol, Mana yake Mawasiliano yapo. Wangekuwa wamekatiwa mawasiliano ndo ingekuwa tatizo kubwa.
 
Mkuu nilisikia jana kwamba wamepoteza mawasiliano na waliopo ndani ya Azovstal.

Daah hawa jamaa wakitoka salama itakuwa bonge la ushindi yani.
 
Naomba chanzo chako cha habari. Hii taarifa sijaipata. Sababu leo nimeona Video ya Azov ya Usiku wa Kuamkia leo wakisema mapambano yanaendelea. Hii video haina masaa 10 tangu waitume hewani. Wamepata wapi internet ya kutuma?
 
Hapa ni Olkhovka karibu na Kharkov
 
Handaki la Urusi, wamekimbia wakaacha viatu. Ila Ukraine wanajitahidi sana, hakuna aliye tegemea
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-72B3 Obr. 2016
 
Back
Top Bottom