figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #1,841
Donetsk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hich kifaru kazi yake kubwa ni kulegeza nguvu ya adui kwa kushumbulia maeneo yote ya ulinzi, kinapiga makombora 21 na kombora moja danger ni one acre. Hii ni lose in war, ajabu sasa huyo mkulima sijui anaenda kufanya nini hiyo bm.Sasa huyu Mkulima hiki kifaru atakitumia wapi? Sidhani kama kinafaa mambo ya Kilimo. Hiki ni kifaru cha Urusi aina ya TOS-1A thermobaric MLRS BM-1 launcher. MLRS maana yake ni Multiple Launch Rocket System. Bonyeza hapo[ ] kuzoom
View attachment 2223774
Ipo Full loaded🤣🤣
View attachment 2223790
Kuna video clip zinaonesha ukraine wanavyotumia game kuangamiza askari wa russia , naomba kama una detailed information ni hii kitu unisaidie.Kuna baadhi ya Silaha hazijaanza kutumika kwasababu bado wanafundishwa Jinsi ya Kuzitumia. Ni za kisasa zaidi na Teknolojia ya hali ya juu. Inadaiwa ndo Mtego wa Kwanza Ukraine wametega Ukaua sana tangu Vita ianze
Ungeiweka hapa watu wangekusaidia kutambua ni silaha aina gani. Nahisi uliona Operator wa drone.Kuna video clip zinaonesha ukraine wanavyotumia game kuangamiza askari wa russia , naomba kama una detailed information ni hii kitu unisaidie.
Nimefuatilia nikweli ni drone operator, wanafaninishwa na gamersUngeiweka hapa watu wangekusaidia kutambua ni silaha aina gani. Nahisi uliona Operator wa drone.
Mkuu hongera Sana kwa updates zako murua lakini Kuna kitu nimekigundua kwenye hii vita.Kumbe USA na NATO Wana uwezo wa kimaliza hii vita hata ndani ya wiki moja tu lakini wanachokifanya ni kudiley ili kuumiza uchumi wa Rusia .Ushahidi wa hili ni Kila phase ya utumaji wa silaha kunakua na ubora tofauti na phase nyingine.Hii ni Drone. Unasema hii?
View attachment 2224053
Putin hana Maisha Marefu. CIA wamefanikiwa kuunda jeshi ndani ya Jeshi Urusi. Hawa waasi wa LEGION lazima wamtoe roho Putin. USA itakachofanya ni kuwawezesha tu. Azov wakikutana na LEGION, Urusi hatakuwa na chake ndo maana anawabana sana AZOV. Azov wana mafunzo ya kivita ya hali ya juu kutoka Magaribi na tangu 2014 wao wapo Vitani na Urusi. Kila mtu ana Visasi na mwenzake.Mkuu hongera Sana kwa updates zako murua lakini Kuna kitu nimekigundua kwenye hii vita.Kumbe USA na NATO Wana uwezo wa kimaliza hii vita hata ndani ya wiki moja tu lakini wanachokifanya ni kudiley ili kuumiza uchumi wa Rusia .Ushahidi wa hili ni Kila phase ya utumaji wa silaha kunakua na ubora tofauti na phase nyingine.
Na Jana mkuu wa ujasusi wa jeshi la Ukureine kasema hii vita itafika hadi mwisho wa mwaka huu na mapambano kamili ni mwezi Agosti na lengo lao Sasa hivi ni kupindua Serikali ya Putin.
Hapa Kharkiv leo Warusi wamepigwa na kurudishwa nyuma Km 50 kwahiyo tunaweza kusema wamesogezwa nje mji na Ukraine imetangaza kuukomboa.
Unaweza kukuta anafanya smuggling deals,sasa hivi nchi iko kwenye mikakati ya kushinda vita kwahiyo mambo mengine siyo kipaumbele sana.Vita si nzuri hata kidogo.Hich kifaru kazi yake kubwa ni kulegeza nguvu ya adui kwa kushumbulia maeneo yote ya ulinzi, kinapiga makombora 21 na kombora moja danger ni one acre. Hii ni lose in war, ajabu sasa huyo mkulima sijui anaenda kufanya nini hiyo bm.
Yaani mawazo yako ni sawa na ya kwangu. Hili jambo nilishaliona kitambo sana, hapa anayetafutwa ni Putin wala siyo Russia, Warussia wakiichoka hii ndio wataanza vugu vugu la kumg'oa, tazama hawa LEGION ni product ya hii vita.Mkuu hongera Sana kwa updates zako murua lakini Kuna kitu nimekigundua kwenye hii vita.Kumbe USA na NATO Wana uwezo wa kimaliza hii vita hata ndani ya wiki moja tu lakini wanachokifanya ni kudiley ili kuumiza uchumi wa Rusia .Ushahidi wa hili ni Kila phase ya utumaji wa silaha kunakua na ubora tofauti na phase nyingine.
Na Jana mkuu wa ujasusi wa jeshi la Ukureine kasema hii vita itafika hadi mwisho wa mwaka huu na mapambano kamili ni mwezi Agosti na lengo lao Sasa hivi ni kupindua Serikali ya Putin.
Ameanza kupigiwa kwenye ardhi yake mtu aliyesema alikwenda kufanya operation Ukraine kwa siku 3 tu,zimezaa takribani siku 90,kama vita itakwenda mpaka mwezi wa 12 Russia atakuwa ameumiza uchumi wake vibaya mno.Siku zinavyoendelea ndivyo Urusi inaumia. Urusi atatoka Ukraine, hawa LEGION watasaidiwa Eauteke Mkoa wa Belgorod nchini Urusi ambapo wataanza songa mbele kuanzia hapo. Belgorod ishalegezwa, ndege za Ukraine zinafika na kurudi, zinafanya mashambulizi zinarudi. Warusi wepesi sana, Wameshindwa kuteka battalion mbili zilizopo Mariupol mwezi wa pili sasa. Ndo Maana Legion wanajiamini.
View attachment 2224077
Kwa silaha na idadi kubwa ya personnel alijua anashinda mapema sana lakini matokeo yamekuwa ndivyo sivyo.Putin viongozi kibao walimshauri asivamie Ukraine akaenderea kukaza shingo ona sasa kinacho mkuta
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hii vita ikikaa mwaka, Urusi itataabika sana. Wenzake NATO wana hela, yeye anategemea Kodi. Ana vifaa vingi vya jeshi ila Outdated, havina shabaha. Biashara imekufa, mafuta na gesi havitoki. Waziri wa fedha Urusi analia. Ajira zimepungua. Hasira zitarudi kwa Putin.Ameanza kupigiwa kwenye ardhi yake mtu aliyesema alikwenda kufanya operation Ukraine kwa siku 3 tu,zimezaa takribani siku 90,kama vita itakwenda mpaka mwezi wa 12 Russia atakuwa ameumiza uchumi wake vibaya mno.
Ila nimejifunza kitu nchi yoyote ambayo huwa inamvamia mwenzake kwa majigambo na sababu binafsi huwa haishindi vita au hupata matokeo ambayo haikuyategemea na kwa hasara kubwa.