Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kazi ya TOS-1A "Solntsepek" Vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine katika eneo la Avdiivka" wakishambulia upande wa Jeshi la Urusi.
 
Hawa LEGION ni hatari
Screenshot_20220523-082314.png
 
Convoy ya Urusi ilivyo haribiwa.. Vifaa vya kijieshi zaidi ya 12 safari imeishia hapa
 
Wanajeshi wa kujitolea kutoka Georgia, wamekuja kusiadia Ukraine
 
Helkopta za Ukraine aina ya Mi-8 na Mi-24 zikiwa kazini. Hapo Warusi wanashambuliwa
 
Kamanda wa Urusi wa unit ya Kadyrovites aliuawa wakati akijirekodi live Tik tok kwamba misheni wamekamilisha salama wakiwa na majeruhi mmoja. Risasi ilipotokea hakujua🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom