Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huyu ni medical doctor wa Azov anaitwa Taira,Warusi wamekubali kubadilishana.Sasa hivi yupo huruView attachment 2264550
Yeah wapo Sita tumebadilishana na Urusi. Mwingine ni Yulia. Wengine wanne sijapata majina yao
20220618_104317.jpg
 
Frontline wakila zao matunda aina ya Cherries. Frontline wanaishi maisha ya raha na wanajiachia sana sababu wanajua anytime anakutana na risasi anaweza kufa wala kupona. Kitimoto sijui nini.. Vyote wanakula tu
20220618_112249.jpg
 
Back
Top Bottom