Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Asante sana OP kwa kutupasha habari. Saa nyingine hatureply ila tunapitia sana post zako. Tangu huu uzi uanze sijawahi miss post hata moja. [emoji120][emoji120][emoji120] figganigga
Basi uwe unagonga hata like za kutosha. Hawa pro Urusi wanakuja hapa kunitukana ili kunikatisha tamaa ila mimi sijali.

Uzuri taarifa zangu ni sahihi. Sababu naweka na picha. Ningekuwa nafanya propaganda, Urusi wangeshakuja hapa kuniumbua. So mimi ni chanzo sahihi wa habari zinazohusu Frontline wa Ukraine. Tungepata mtu wa Urusi anayeweka matukio ya Frontline upande wa Urusi ingekuwa poa sana. Pro Urusi wakikosa hoja wanatukana tu. Mwisho wa siku tunashindwa wasaidia majeshi ya Africa jinsi vita inavyopiganwa karne ya 21. Kupasua tofali kwa kichwa au kupigwa fimbo hadi zivunjike sio zama hizi.

Mtu anakuja na Drone anakuondoa tena huioni. Hata mkireatreat lazima wawakamate tu

Mfano sikukuu za Ukuru tunaringa na Vifaru aina ya T-72 na T-72B3 ambavyo vinapiga km 4. Wenzetu wana M777 howitzers inapiga km 300.

Vifaru vya T-72 vinakimbia speed hadi 75 k/h wakati wenzetu wana CAESAR inakimbia km 100 hadi 120 k/h.

Ndo maana Urusi wanaretreat kwa kutumia Magari madogo V8 na Vifaru wanatelekeza, wanajua havikimbii
 
Sniper kutoka Ujerumani. Naona Ujerumani wamekuja mazima. Sijui wamehisi nini. Walikuwa wanasita
IMG_20220619_190654_753.jpg
 
Basi uwe unagonga hata like za kutosha. Hawa pro Urusi wanakuja hapa kunitukana ili kunikatisha taaa ila mimi sijali.

Uzuri taarifa zangu ni sahihi. Sababu naweka na picha. Ningekuwa nafanya propaganda, Urusi wangeshakuja hapa kuniumbua. So mimi ni chanzo sahihi wa habari zinazohusu Frontline wa Ukraine. Tungepata mtu wa Urusi anayeweka matukio ya Frontline upande wa Urusi ingekuwa poa sana. Pro Urusi wakikosa hoja wanatukana tu. Mwisho wa siku tunashindwa wasaidia majeshi ya Africa jinsi vita inavyopiganwa karne ya 21. Kupasua tofali kwa kichwa au kupigwa fimbo hadi zivunjike sio zama hizi.

Mtu anakuja na Drone anakuondoa tena huioni. Hata mkireatreat lazima wawakamate tu

Mfano sikukuu za Ukuru tunaringa na Vifaru aina ya T-72 na T-72B3 ambavyo vinapiga km 4. Wenzetu wana M777 howitzers inapiga km 300.

Vifaru vya T-72 vinakimbia speed hadi 75 k/h wakati wenzetu wana CAESAR inakimbia km 100 hadi 120 k/h.

Ndo maana Urusi wanaretreat kwa kutumia Magari madogo V8 na Vifaru wanatelekeza, wanajua havikimbii
Kama Taifa tuna safari ndefu Sana na Kwa kutumia hii vita naamini Kuna vitu majeshi yetu yatajifunza
 
Habari zipo nyingi. Uvivu tu wa kupost. Warusi Wana hali mbaya ndo maana kila siku wanaingiza Vifaru vipya sababu vile vya kwanza tumeshavilipua vyote
Wewe na nani mmelipua? unadhani ni muvie iyo
 
Figganigga amaeanzisha thread anajijibu mwenyewe..hahaha..dada nenda kale ukalale hii vita sio size yako!! Hii vita ni size ya akili kubwa..ww akili yako ni ya kulia mihogo na asha ngederee..alamu sikii
Asante kwa kuniita dada. Ubarikiwe.. Ulichoongea kweli ni kwamba nakula Mihogo. Mihogo naipenda sana tena asubuhi ukipata muhogo kachumbari na chai, maisha yanaenda poa sana. Vipi wewe huli mihogo?
 
Dah, figganigga shenzy kabisa, mambo gani sasa ya kufukuliana makaburi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuongelee ya leo asee
Ndo maana ukaambiwa Usirushe mawe wakati unaishi nyumba ya vioo. Nikiona mtu anatukana najua ni mfuasi wa Putin. Mfano hapa ulikuwa na sababu gani ya kuniita shenzy? Kosa langu kupost? Baasi nawaacha muendelee kupost nyie uongo kwenye thread yenu ili mfurahi. Sawa?
 
Back
Top Bottom