Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa ukisoma hivi unapata munkar ya kuingia vitani ila subir ikukute hataaarii...Ila vita tuisikie tu kwa watu
Basi uwe unagonga hata like za kutosha. Hawa pro Urusi wanakuja hapa kunitukana ili kunikatisha tamaa ila mimi sijali.Asante sana OP kwa kutupasha habari. Saa nyingine hatureply ila tunapitia sana post zako. Tangu huu uzi uanze sijawahi miss post hata moja. [emoji120][emoji120][emoji120] figganigga
Umechoka kuchangia hii thread? Anzisha ya kwakoHii Sredi mbona naona ni figganigga tu anakoment, naona anajiukiza na kujijibu mwenyewe. Mrusi hafai dadeki
Nikuwatuma tu motoni warusi wooooooteKifaru cha Urusi kimeanguka. Wanajeshi wanasema kinaisikiliza Ardhi imemeza wangapi?
View attachment 2265821
Kama Taifa tuna safari ndefu Sana na Kwa kutumia hii vita naamini Kuna vitu majeshi yetu yatajifunzaBasi uwe unagonga hata like za kutosha. Hawa pro Urusi wanakuja hapa kunitukana ili kunikatisha taaa ila mimi sijali.
Uzuri taarifa zangu ni sahihi. Sababu naweka na picha. Ningekuwa nafanya propaganda, Urusi wangeshakuja hapa kuniumbua. So mimi ni chanzo sahihi wa habari zinazohusu Frontline wa Ukraine. Tungepata mtu wa Urusi anayeweka matukio ya Frontline upande wa Urusi ingekuwa poa sana. Pro Urusi wakikosa hoja wanatukana tu. Mwisho wa siku tunashindwa wasaidia majeshi ya Africa jinsi vita inavyopiganwa karne ya 21. Kupasua tofali kwa kichwa au kupigwa fimbo hadi zivunjike sio zama hizi.
Mtu anakuja na Drone anakuondoa tena huioni. Hata mkireatreat lazima wawakamate tu
Mfano sikukuu za Ukuru tunaringa na Vifaru aina ya T-72 na T-72B3 ambavyo vinapiga km 4. Wenzetu wana M777 howitzers inapiga km 300.
Vifaru vya T-72 vinakimbia speed hadi 75 k/h wakati wenzetu wana CAESAR inakimbia km 100 hadi 120 k/h.
Ndo maana Urusi wanaretreat kwa kutumia Magari madogo V8 na Vifaru wanatelekeza, wanajua havikimbii
Figganigga amaeanzisha thread anajijibu mwenyewe..hahaha..dada nenda kale ukalale hii vita sio size yako!! Hii vita ni size ya akili kubwa..ww akili yako ni ya kulia mihogo na asha ngederee..alamu sikiiHii Missile ni balaa. Kifaru cha Urusi kimenyanyliwa kama karatasi
View attachment 2265879
Dah, figganigga shenzy kabisa, mambo gani sasa ya kufukuliana makaburi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umechoka kuchangia hii thread? Anzisha ya kwako
View attachment 2265872
Wewe na nani mmelipua? unadhani ni muvie iyoHabari zipo nyingi. Uvivu tu wa kupost. Warusi Wana hali mbaya ndo maana kila siku wanaingiza Vifaru vipya sababu vile vya kwanza tumeshavilipua vyote
Huku sio kwa kukoment tunasoma tu habari njema ukitaka koment nenda kwenye uzi wenu warusi w internationalHii Sredi mbona naona ni figganigga tu anakoment, naona anajiukiza na kujijibu mwenyewe. Mrusi hafai dadeki
Anzisha na wewe dada / mama yetu ujijibu mwenyeweFigganigga amaeanzisha thread anajijibu mwenyewe..hahaha..dada nenda kale ukalale hii vita sio size yako!! Hii vita ni size ya akili kubwa..ww akili yako ni ya kulia mihogo na asha ngederee..alamu sikii
Kiupande wako wewe kinachokusumbua ni kitu gani wakati mwanzilishi wa mada haumii na hilo?Figganigga amaeanzisha thread anajijibu mwenyewe..hahaha..dada nenda kale ukalale hii vita sio size yako!! Hii vita ni size ya akili kubwa..ww akili yako ni ya kulia mihogo na asha ngederee..alamu sikii
Asante kwa kuniita dada. Ubarikiwe.. Ulichoongea kweli ni kwamba nakula Mihogo. Mihogo naipenda sana tena asubuhi ukipata muhogo kachumbari na chai, maisha yanaenda poa sana. Vipi wewe huli mihogo?Figganigga amaeanzisha thread anajijibu mwenyewe..hahaha..dada nenda kale ukalale hii vita sio size yako!! Hii vita ni size ya akili kubwa..ww akili yako ni ya kulia mihogo na asha ngederee..alamu sikii
Ndo maana ukaambiwa Usirushe mawe wakati unaishi nyumba ya vioo. Nikiona mtu anatukana najua ni mfuasi wa Putin. Mfano hapa ulikuwa na sababu gani ya kuniita shenzy? Kosa langu kupost? Baasi nawaacha muendelee kupost nyie uongo kwenye thread yenu ili mfurahi. Sawa?Dah, figganigga shenzy kabisa, mambo gani sasa ya kufukuliana makaburi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuongelee ya leo asee
Hiki kifaru kilichopeperushwa kama karatasi ndo hiki hapa. ni kifaru cha Urusi aina ya BMP-1AM. Ilikuwa kazi nzuri ya kikosi cha Ukrainian Air Assault TroopsHii Missile ni balaa. Kifaru cha Urusi kimenyanyliwa kama karatasi
View attachment 2265879