Tumeteka Warusi wengine. Wamekuwa wadogo kama piriton. Urusi wanatakiwa wajue Ukraine sio nchi yao. Tutawamaliza. Ukiwakuta mtandaoni wafuasi wao wqnavyo ongea, huwezi amini kama wanakamatwa kama kuku wa kisasa😂😂
Ule mzigo unaojulikana kama High Mobility Artillery Rocket System(HIMARS) umefika Frontline na Warusi wameanza kuipatapata. Wavamizi kadhaa leo wamekwenda na maji
Nadhani Urusi kuna Sehemu wamejichanganya kwenye Maswala ya logistics, sababu wanapoteza sana. Au Wanajeshi wanamhujumu Putin? Mara ya kwanza walikuwa wakipambana wakitokea Ukraine yaani Ofisi na Vifaa Base zao Zilikuwa Ukraine ila sasa hivi Control Room zao zipo Urusi. Hamna jinsi itabidi tuzilipue huko huko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.