figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,081
Frontline wanasindikizwa na Chopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu weka kacrip karefu kidogo mbona kama movie vile yaani mbele mbele yao hakuna kusurrenderFrontline kidogo leo. Si mchezo
View attachment 2268265
Wawe wanatawanyika maana kama kuna mabomu wanaweza kudhurika wengi sanaFrontline wanasindikizwa na Chopa
View attachment 2268272
Chopa inawaongoza. Juu anaona mbali. Chopa ina watu wanalinda wa chini. Missile inapiga Target sio wanaotembeaWawe wanatawanyika maana kama kuna mabomu wanaweza kudhurika wengi sana
Duuuh yaan fan yenyewe mbovu duuuh..Ndo Uzuri wa Azov. Wamewaambia Warusi Wasali sala zao za Mwisho. Urusi waje wachukie maiti zao. Kwanza wezi
View attachment 2268280
We figganigga cjui ni mtu gani husomi TAARIFA Nini mzee unajikoaha na vipicha hivo ahahaha Leo Wakuraine wako wamelipuliwa viongozi 50 wakiwa wanafanya mkutano... Mbn hizo huziposti...