Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Major Alexander Shevtsov walidai hajafa hadi jana tulipoona kaburi lake Urusi🤣🤣
20220626_101905.jpg
 
Mifumo yote ya anga ya Ukraine inafanya kazi. Mrusi anawindwa
 
Mkoani Donetsk Kusini, leo June 26 6:30 AM, Vikosi vya Ukraine vilifanikiwa kukomboa miji ya Novomaiorske, Shevchenko, Pavlivka na Yehorivka. Frontline ya Urusi imerudi nyuma 10km. Malengo ya leo ni kuikomboa Petrivka na Warusi wameanza kurudi nyuma. Mapambano ni makali.
20220626_160433.jpg
 
Back
Top Bottom