Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wiki hii itakua nzuri. Treni ilokiwa imebeba risasi na makombora, tumeiangusha Mkoani Pskov japo imegoma kulipuka. Maana yake, wiki hii Frontline ya Urusi itakosa risasi. Tusubiri tuone
20220627_164828.jpg
20220627_164831.jpg
20220627_164907.jpg
 
Ghala la Risasi la Urusi limelipuliwa leo mchana huko Alchevsk, mkoani Luhansk. Sasa subiri Muziki watakaopewa Urusi. HIMARS ni noumer. Inafika popote. Wiki hii itakua nzuri kwa Ukraine. Hatutaki mtu ajisalimishe.. Tunategemea mateka wengi
 
View attachment 2274472
Hapo inatakiwa tupewe ammunation za kufika Crimea na Belgrod au 300KM hapo lazima kila mtu aumie.....

Naona Belarus analazimisha ingia vitani
 
Hapa ni Mkoani Kharkov Vifaa vya Jeshi la Urusi Vimeharibiwa. Hii kazi ilibidi Brigades tatu za Ukraine kushirikiana ili kufanikisha sababu palikuwa na Ulinzi Mkali. Wamepigwa kutokea Pande tatu na 92nd, 40th na 27th brigades.
 
Back
Top Bottom