Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huko Urusi Mkoa wa Tula, mabehewa 12 ya treni ya mizigo yalibadili mawazo yao kuhusu kuelekea upande wa Ukraine na kuacha njia na kugeukia yanapotoka

Inashangaza, ilikuaje?
IMG_20220718_202157_449.jpg
 
Kokosi chetu bora cha 93rd OMBr huko Izyum, kimewafanya Warusi wakimbie na kuacha Viatu
 
Endeleeni tu kusifia hizo HIMMARS, kila kukicha wenzenu WARUSSI wanateka miji mikubwa na kujiimarisha zaidi na zaidi.
 
Hii silaha ya kutungulia ndge ndo inaitwa ZU-23-2 "Sergey", au ZU-23, bomba mbili
 
Askari kufa (kupoteza maisha) akiwa vitani sio jambo la ajabu sana tangu enzi na enzi, kwani aliapa kulinda na kuitetea nchi yake dhidi ya maadui wa ndani na nje ya mipaka ya nchi yake.
Ni kweli lakini hakuapa kulinda na kitetea nchi yake kizembe-zembe na kwa shinikizo la ki-Uvamizi lisilo na maslahi kwa nchi yake ila ni kwa maslahi ya Dikteta mmoja.
Ili askari awe na morale wa vita ni lazima ajue na aelewe anaingia vitani kwa malengo gani sio kwenda kichwa-kichwa tu eti Afande kasema.
 
Endeleeni tu kusifia hizo HIMMARS, kila kukicha wenzenu WARUSSI wanateka miji mikubwa na kujiimarisha zaidi na zaidi.
Mmm; mkuu Warussi sio wenzetu katika hili na cjui wanajiimarishaje wakati wanakimbia-kimbia bila kupata nafasi ya kuvaa hata viatu. Hiyo miji mikubwa walioteka ni ipi? Usikute ni huko Kiboriloni au Rau madukani.
 
Back
Top Bottom