figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #4,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaleta raha sana kuona Ukraine wanapata point muhimu kwenye medani. Dictator Huyu lazima afurushwe.View attachment 2302507
Acha iwake tu!S300 huko Kherson inawaka moto
Hiyo ni good newsmoto
Una kiherehere sana, tumeanzisha uzi unaotuhusu sisi unatufata fata.LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Acha propaganda za Zionists. Unajua nchi ya Israel iliundwa na nani!? We all know USA was the one motivate d Zionism movement 1948 and identify Israel as independent country,but Ile Vita ya 1948 kahamia Tu 5 Arabs country kapiga zotewww.jamiiforums.com
Hii Link ina video mnazozitaka.
Ha ha haaaa! Lini mmepewa hati miliki ya uzi huu. ??? Poleni, Sasa naanza kuelewa kwa nini mnapenda kuangalia video na picha zinazokiuka maadili ya utu.Una kiherehere sana, tumeanzisha uzi unaotuhusu sisi unatufata fata.
Anzisheni wenu mjifariji
Zitaisha zoteS300 huko Kherson inawaka moto
Kuna Pro Urusi ukipost kitu bila picha hawaamini. Nawawekea Video. Halafu sio moja, ni mbiliS300 huko Kherson inawaka moto
Umenikumbusha Lufufu aiseeHapo Lufufu anakwambia likaamua kukotoza na mbaligambaliga. Mbaliga kugobya. Ahahaha
Safi maana hao ni masheitwani kabisa.Hapa kuna Warusi 23 wamekwenda na maji
View attachment 2302695
Akina Nani wanaozitaka?LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Acha propaganda za Zionists. Unajua nchi ya Israel iliundwa na nani!? We all know USA was the one motivate d Zionism movement 1948 and identify Israel as independent country,but Ile Vita ya 1948 kahamia Tu 5 Arabs country kapiga zotewww.jamiiforums.com
Hii Link ina video mnazozitaka.
Safi kabisa wawaue tena kwa kukatwakatwa washenzi hao.Hapa kuna Warusi 23 wamekwenda na maji
View attachment 2302695