figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,141
Ukraine kazi kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 hata ungelikuwa wewe figganigga vitu vinakuijia juu ya utosini utasimama kumsaidia mwenzako.Urusi ni wanajeshi wa ajabu, mwenzao akiumia hawarudi nyuma kumsaidia. Hapa walishambuliwa na drone ya Ukraine View attachment 2326398
Kwa hiyo anayeelezea huyo ni mrusiHii Video nimeipenda sababu Urusi walirusha Helkopta yao kwa Mbwembwe nyingi na mavideo kibao. Ikaja kuishia Mikononi mwa Azov🤣🤣
View attachment 2326414
Huyu anayeelezea ni Mrusi, kwamba tunaenda kuwaangamiza Ukraine. Lakini walipofika wote wakadondoshwa. Hii inaitwa Before and after 🤣🤣Kwa hiyo anayeelezea huyo ni mrusi
Sijaelewa kabisa.
Mbwembwe zote hizo kumbe waliogeuzwa kuwa mizoga.Huyu anayeelezea ni Mrusi, kwamba tunaenda kuwaangamiza Ukraine. Lakini walipofika wote wakadondoshwa. Hii inaitwa Before and after 🤣🤣
Hapo wanaume wana uwezo wa kumfanya chochote, lazima awe mpole. 😂😂😂 yuko tayari kuf.......rwa ili mradi tu wasimùue. Nani hapendi maisha 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🤣🤣🤣Mrusi ukimteka anakuwa mpole sana
View attachment 2326523
Wapo, watafute wanajiita TIKTOK. Kwani huwa hampeani habari za wanaosaidia Russia?Hivi wale chechnya waliokuwa wanasaidia Rusia waliishia wapi siwasikii tena
Network imekata ghafla. Huo moto sio mchezo.Huyo jamaa aliyesimama tu pamoja na hiyo mvua ya moto kachanganyikiwa au ndo kujiamini kupita kiasi. 😂😂😂😂
Mizoga ya kirusi ilivyozagaa mapori ya Ukraine nani atie pua Chief? Mwanzoni wali underestimate power za jeshi la Ukraine wakaja gundua kina kirefu wanaingizwa mkenge na fashisti.Hivi wale chechnya waliokuwa wanasaidia Rusia waliishia wapi siwasikii tena
Mm nimeelewa kwamba yule jamaa aliyevaa kiraia na anaonesha mbwembwe za kusifia au majigambo ni Mrusi. Ila baadaye nimeona screpa ya Helikopta. Most probably ndo hiyohiyo chopa.Kwa hiyo anayeelezea huyo ni mrusi
Sijaelewa kabisa.
Mrusi ni mwoga kama kunguru. Ila kwa kweli aisee, ukikutana na nyuso hizo 4 hapo juu lazima kamkojo kimbele-mbele kakutoke kabla ujasema shikamoo.Urusi wanaogopa Vita nje ya makazi ya watu. Warusi wanavaa nguo mbilimbili. Kombati na nguo za kuraia. Wakizidiwa wanavua magwanda wanabaki na nguo za kiraia then wanajichanganya na watu. Ndo maana Mashambulizi yao yanaanzia makazi ya watu. Mkijibu mnaua wazee na watoto.
View attachment 2326447
Hao wanaodaiwa kuisaidia Russia ni waongo mno na wazushi. Cjui wenzangu lakini mm hua sinaga time nao kupoteza bure kifurushi changu.Wapo, watafute wanajiita TIKTOK. Kwani huwa hampeani habari za wanaosaidia Russia?