Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa mobilized wanapewa ahadi lukuki, umaskini wao ndo unawaponza. Hawajaja kupigana Ukraine sababu ya uzalendo wa kupenda nchi yao bali ni njaa tu.

Wamezoea kuangalia movies za kivita, wanafikiri wanakuja kucheza cinema. Wakifika field ndo wanajua kumbe kuna keupe na kekundu.

Anahema kama mbwa koko.
Anabahati kubwa sana huyo. Kwanza kadakwa i.e. yuko hai.
 
Mobilized wakiwa Sevastopol huko Crimea.

Tunawafuatilia kwa karibu🤣🤣🤣
IMG_20220928_124119_805.jpg
IMG_20220928_124121_692.jpg
IMG_20220928_124125_048.jpg
 
Huyu Mtanzania anaishi Krasnodar huko Urusi, ni moja ya Vijana wa Kiafrika wanaoishi Urusi ambao wamekuwa Mobilized🤣🤣🤣
View attachment 2370584
... all the best mwamba; sijui tumtakie RIP kabisa? Anyway, the best kwake, chance yoyote itakayopatikana ajisalimishe kwa majeshi ya Ukraine soonest possible as it might be practicable.
 
Mobilized wakiwa Sevastopol huko Crimea.

Tunawafuatilia kwa karibu🤣🤣🤣
View attachment 2370572View attachment 2370573View attachment 2370574
Mhhhh. Duh! ni Askari kweli au ni igizo la wazee waliovaa kombat?Hivi labda nimesoma hapo vibaya kwani dhana halisi inayojitokeza katika picha ninaona ni MORTALIZED. Hao watu Wamechoka mno - ukiondoa hizo kombat na silaha utawaona vizuri jinsi walivyopinda. Hawafai kwa kazi iliyokusudiwa manake hawa ni wale walioshindwa kukimbia au kutoroka wakati wa ile Kamata-kamata kusanya watu mitaani(Mobilization). Huyo mzee wa mbele katikati (mwenye mvi) anaishangaa silaha aliyopewa.
 
Huyu Mtanzania anaishi Krasnodar huko Urusi, ni moja ya Vijana wa Kiafrika wanaoishi Urusi ambao wamekuwa Mobilized🤣🤣🤣
View attachment 2370584
Mama weee. Huyo dogo amekulia kwenye tenga ndo mana hadi anakusanywa yeye (Me) bado kaning'iniza hereni. Mtz original hana huo mzubao na uzembe ki vile. Mtz Oji angelisepa fasta kusikojulikana hata kama ni kuingia chaka mambo mengine baadaye.
 
... all the best mwamba; sijui tumtakie RIP kabisa? Anyway, the best kwake, chance yoyote itakayopatikana ajisalimishe kwa majeshi ya Ukraine soonest possible as it might be practicable.
Hapana mkuu. Bado zipo chances nyingi za yeye ku-survive. Cha msingi hapo ni yeye kumuomba tu Muumba wake. Lakini ni bahati mbaya sana vijana wa siku hizi a.k.a.vijana wa dotcom hilo hawalikubali wanadai eti Mungu hayupo.
 
Huyu Mtanzania anaishi Krasnodar huko Urusi, ni moja ya Vijana wa Kiafrika wanaoishi Urusi ambao wamekuwa Mobilized🤣🤣🤣

Na heleni zake, akifika field wanaume watamgeuza kifudifudi. Ungemshauri asiende huko atakuwa chakula cha kunguru.
Labda angelimshauri aachane na hizo hereni cjui bangili alizojivika kwani hakuna tena jinsi. Kwenda sio hiari tena bali sasa ni lazima. Mrussi (Putin) aisee! Haangalii makunyanzi- uwe ni Mtz, Mkenya, Mkongomani, Mnyarwanda, Mkomoro, mzee,kijana, woote twende kazi kupambana na frontline ya Ukraine. Swali: Je, hao wooote wakiisha teketezwa atafuata nani?
Putin is actually chasing his own tail.
 
... all the best mwamba; sijui tumtakie RIP kabisa? Anyway, the best kwake, chance yoyote itakayopatikana ajisalimishe kwa majeshi ya Ukraine soonest possible as it might be practicable.
Sheria imepitishwa Urusi, ukionesha dalili za kujisalimisha unafungwa jela miaka 10. Hata ukionesha huna nia ya kushambulia adui
 
Slava Ukraini!(May God bless you) walisikia Wananchi wa Kupiansk-Vuzlovyi baada yakukombolewa kutoka kwenye Makucha na ugandamizaji wa Wavauzi Urusi. Hili eneo lilikuwa limekaliwa kimabavu na Urusi tangu February 2022
 
Back
Top Bottom