Mkutano Mkuu wa UN umepiga kura ili kubariki mipaka mipya ya Ukraine. Nchi 143 kati 193 zilizopiga zimekataa kutambua mipaka mipya(zimekua upande wa Ukraine), Nchi 35 hazikuwa na upande na Nchi 5 (Russia, Belarus, North Korea, Syria, na Nicaragua) zilikuwa Upande wa Urusi.
Kwa ufupi, umoja wa mataifa hautambui kitendo cha Urusi kuiba ardhi ya Ukraine na kubadilisha mipaka. Kwa ufupi, Urusi warudi kwao na waache kuuua raia wa Ukraine wasio na hatia. Tunawakumbusha kwamba Crimea, Kherson, Zaporizhzhya, Donetsk na Luhansk ni Mikoa Ukraine. Urusi ondokeni
View attachment 2385497
View attachment 2385489
Baada ya kupiga kura, UN ikaweka hadharani jinsi watu walivyopiga kura