Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Baada Urusi kuharibu miundo mbinu kwenye treni ya umeme, Ukriane ilitumia matrekta ili watu waendelee na Shughuli zao wakati umeme ukitengenezwa. Wananchi wa Ukriane hawakati tamaa. Wanalinda nchi yao dhidi ya Wacamizi
 
Mkutano Mkuu wa UN umepiga kura ili kubariki mipaka mipya ya Ukraine. Nchi 143 kati 193 zilizopiga zimekataa kutambua mipaka mipya(zimekua upande wa Ukraine), Nchi 35 hazikuwa na upande na Nchi 5 (Russia, Belarus, North Korea, Syria, na Nicaragua) zilikuwa Upande wa Urusi. Nchi zilizopiga kura ni 193.

Kwa ufupi, umoja wa mataifa hautambui kitendo cha Urusi kuiba ardhi ya Ukraine na kubadilisha mipaka. Kwa ufupi, Urusi warudi kwao na waache kuuua raia wa Ukraine wasio na hatia. Tunawakumbusha kwamba Crimea, Kherson, Zaporizhzhya, Donetsk na Luhansk ni Mikoa Ukraine. Urusi ondokeni
IMG_20221013_084917_312.jpg

IMG_20221013_083746_344.jpg

Baada ya kupiga kura, UN ikaweka hadharani jinsi watu walivyopiga kura
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Huu uzi ni kujifariji tu, kichapo mnachochezea kila uchao mnalia lia kuhutumia mara msaada, wanaume hawana habari wanafanya mazoezi ya Pamoja huko sambamba na CHINA na IRAN.

Nyie ndio mnajua mko vitani, wenzenu wako kwenye SMO [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na mkianza kupaza midomo wanawafumuaaaaa then wanaendelea na mishe zao.
Umekatazwa weka uzi wenu wa kuonesha tunavyopigwa?
 
Mkutano Mkuu wa UN umepiga kura ili kubariki mipaka mipya ya Ukraine. Nchi 143 kati 193 zilizopiga zimekataa kutambua mipaka mipya(zimekua upande wa Ukraine), Nchi 35 hazikuwa na upande na Nchi 5 (Russia, Belarus, North Korea, Syria, na Nicaragua) zilikuwa Upande wa Urusi.

Kwa ufupi, umoja wa mataifa hautambui kitendo cha Urusi kuiba ardhi ya Ukraine na kubadilisha mipaka. Kwa ufupi, Urusi warudi kwao na waache kuuua raia wa Ukraine wasio na hatia. Tunawakumbusha kwamba Crimea, Kherson, Zaporizhzhya, Donetsk na Luhansk ni Mikoa Ukraine. Urusi ondokeni
View attachment 2385497
View attachment 2385489
Baada ya kupiga kura, UN ikaweka hadharani jinsi watu walivyopiga kura
Huku hawa Warussi wa Rau madukani nao wanalalamika eti hawakushirikishwa😀😀
 
Umekatazwa weka uzi wenu wa kuonesha tunavyopigwa?
Kila siku nawaambia. Waweke thread yao ya picha na video waoneshe tunavyopigwa. Eti wananilazimisha nioneshe tukipigwa. Yaani wanaiambia page ya simba ipost mambo ya yanga au page ya yanga ipost mambo ya simba. Haiwezekani. Kwanza mimi nitazitoa wapi? Frontline ya Urusi hawana Smart phone. Walikuwepo Wale wanajeshi Chechen walikuwa wanajiuita Tik tokers, Azov walishawamaliza, hata waliobaki sijui wamekimbilia wapi. Kidogo walikuwa wanapost.
 
Kila siku nawaambia. Waweke thread yao ya picha na video waoneshe tunavyopigwa. Eti wananilazimisha nioneshe tukipigwa. Yaani wwnaiambia page ya simba ipost mambo ya yanga au page ya yanga ipost mambo ta simba. Haiwezekani.
Ah! Bhana; hao ni vichwa maji, ni vichwa ngumu hawasikii wala hawaelewi - achana nao hawawezi kuanzisha uzi wao.
 
Back
Top Bottom