figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #7,441
Good morning Kherson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nao mafala haoTatizo wanadhani napost picha kushindanisha kati ya Urusi na Ukraine. Mimi napost mafanikio ya Frontline ya Ukriane. Ingependeza mtu akija kusema nimedanganya aseme ukweli aniumbue. Lakini sio kunitukana. Kosa langu kuongea ukweli au? Tunakosa mijadala yenye tija sababu mtu haji na hoja. Hii ni vita tuitumie kujifunza silaha mpya na mbinu mpya za kijeshi. Mfano leo Ukraine imeachia Wanajeshi wa Urusi 218, aje mtu aseme walikuwa wafungwa 10. Wenzetu Africa hasa Ghana na Nigeria wanabishana kwa hoja, ila Tanzania anayejua matusi na udhalilishaji ndo anaonekana mwenye point. Tanzania muna safari ndefu kufikia uhuru wa kujieleza. Pro Urusi wa huko Tanzania wanaona matusi ndo dili. Nasikitika sana.. Ndo maana siwajibu sababu hawajengi hoja
So unafuraia? Stupid.
Ficha ujinga wako.
Katume wewe kwenye Uzi wenu,huku ni mafanikio ya Ukraine tu.Sijaona mtu muongo kama huyu mtuma mapicha yaani kwa mfano Ukraine haina umeme wala maji hivi huko yeye hajapata picha atume Kyiv ilivyochakazwa???
Uzi umeingiliwa na poyoyo. Sijui anakunywa mataputapu ndo anaingia humu. Yule ni kumchunia tuMsitoe KIKI kwa wakuja.
Cjui katokea fesibuku kwao uko.View attachment 2391496