Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi inaelekea imekubali matokeo huko Kherson Magharibi. Wameamua kuondoa vikosi vyao vya mizinga huko, nahisi wanahifia hivyo vikosi kutekwa na silaha kuangukia mikononi mwa WaUkraine
Nyani katema bungo, Hahaa. Mrussi angelijua kwamba Ukraine hana shida na old fashioned silaha asingelihaha kiasi hicho kuzikimbiza. Ukraine alishasema na akarudia tena na tena: Mrussi aondoke kwenye ardhi ya Ukraine lakini wapi .Mrussi kakaza fuvu. Hayo machuma-chuma yake ya mwaka 47 nani anayataka? Ajibee makorokoro yake aliyoingiza huko Ukraine aondoke nayo akamwoneshe mke wake. La! Hataki basi ajue kuendelea kuwepo kimabavu kwa Mrussi kwenye ardhi ya Ukraine ni kichefuchefu.
 
Hapa ni Kherson International Airport. Magari na Vifaru walivichimbia hapa. Wameondoka pamebaki mashimo tu. Vifaru vilikuwa vinalinda Uwanja
20221030_232301.jpg
 
Tatizo Ukraine anamlea Urusi, anatakiwa atafute mbinu ya kumsababishia Urusi giza hata la wiki, ili adabu iwepo
Anatakiwa awe na ulinzi imara wa anga lake ndo ampige. Ngoja tuone NASAMS zikifika na kuanza kufanya kazi zitasaidia kwa kiwango gani. Ukraine ikithibiti anga Russia lazima aombe mazungumzo kwa juhudi zote.
 
Siku mbaya kwa Warusi. Hawa kwenye Video ni Ukraine, Walirushiwa grenade bahati nzuri ikagonga mti na kuwarudia kwenye handaki. Ikabidi wawaminie risasi kuwamalizia.. Huyo jamaa anakimbia bomu lipasuke akiwa mbali, kumbe limerudi lilipotoka[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2400912
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Tatizo Ukraine anamlea Urusi, anatakiwa atafute mbinu ya kumsababishia Urusi giza hata la wiki, ili adabu iwepo
Ndiyo, lakini Ukraine akifanya hivyo (na uwezo huo anao)atakuwa amekiuka Taratibu za kivita za Kimataifa na hivyo kumfanya Ukraine aonekane ni mkorofi sawa na Mrussi.
 
Unajua hizi Video tunapost zinaacha alama(geolocation). Hawa Warusi walipost Video wakijitapa huko Bakhmut, Ukraine wakaichunguza na kugundua wapo latitude na Longitude 48°33'27.59"N, 38° 4'55.52"E. Wote wakateketezwa. Hili kosa tu la Technology. Ndo Maana Kherson wanataka picha zisipostiwe muda huo huo majeshi yalipo.
View attachment 2402500View attachment 2402501
View attachment 2402503
Kama sikosei ni vita ya Iraq kuna helicopter ya US ililiwa kichwa kwa sababu ya kupost picha au live streaming kama sikosei.

Ukraine wapo sahihi

Madhara ya kugeotag picture kwa wajeshi haya[emoji115][emoji115]
 
Anatakiwa awe na ulinzi imara wa anga lake ndo ampige. Ngoja tuone NASAMS zikifika na kuanza kufanya kazi zitasaidia kwa kiwango gani. Ukraine ikithibiti anga Russia lazima aombe mazungumzo kwa juhudi zote.
Kumbe kwa ground Ukraine anaunda kamikaze drone za kwake mwenyewe ili azitumie ndani ya Urusi
 
Kumbe kwa ground Ukraine anaunda kamikaze drone za kwake mwenyewe ili azitumie ndani ya Urusi
Mrussi alienda kupiga magoti na kuomba kuuziwa kutoka Iran. Iran anapiga hela ndefu sana kutoka kwa Mrussi.
 
Kumbe kwa ground Ukraine anaunda kamikaze drone za kwake mwenyewe ili azitumie ndani ya Urusi
IRIS-T ya German ufanisi wake wa kudaka makombora ni 100%. Maana yake wakipata IRIS-T za kutosha anga la Ukraine litakuwa salama kabisa, hakuna fisi wa kukatiza. Ngoja NASAMS zifike utakuwa mwisho wa Russia makombora yake kuua au kudhuru wa-Ukraine
 
Back
Top Bottom