Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

NATO wanamtafuta Urusi kwa hamu kweli,yaani wanatamani hata buti la mwanajeshi wa Urusi liangukie ndani ya mipaka yao wamuadabishe vilivyo,ana bahati
Leo lazima Kremlin wamegongeana glass za wine kwa kuponea chupuchupu kwenye msala huu. 😂😂😂

Russia walipanic waliposikia Mh Zelenskyy kawatupia zigo. 😂😂😂
 
Leo lazima Kremlin wamegongeana glass za wine kwa kuponea chupuchupu kwenye msala huu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Russia walipanic waliposikia Mh Zelenskyy kawatupia zigo. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3]
 
Good morning
20221117_070621.jpg
20221117_070627.jpg
20221117_070633.jpg
20221117_070644.jpg
20221117_070651.jpg
20221117_070713.jpg
 
Vadim Boyko, Navy Colonel na naibu mkuu wa Chuo cha Jeshi la Majini cha Makarov Pacific Higher Naval School huko Vladivostok. Ameuawa kwa kujipiga risasi tano kifuani. Huyu alimobilize Warusi waje Ukraine. Urusi wamesema kauliwa na Magaidi[Edited}
20221117_123222.jpg
 
Vadim Boyko, Navy Colonel na naibu mkuu wa Chuo cha Jeshi la Majini cha Makarov Pacific Higher Naval School huko Vladivostok. Ameuawa kwa kupigwa risasi tano kifuani na watu wasio Julikana. Huyu alimobilize Warusi waje Ukraine. Urusi wamesema kauliwa na Magaidi
View attachment 2419360
Ameacha mtoto mzuri namna hiyo!! Pole sana kwake.
 
Urusi wamelogwa? Angalia wanavyo rushiana risasi wenyewe kwa wenyewe. Hapa walikuwa wanaretreat Kherson. Hawa ndo walianza uchokozi kwa kuwarushia bomu, jamaa wakaanza miminiwa risasi. Ikabidi iwe piga nikupige. Walijitetea sisi wenzenu lakini jamaa hawakusikia. Mwisho wa siku wakauana
 
View attachment 2419547
Enhe! Vichwa maji wawili wamekutana. Kimasihara eti Unamrushia mwenzio bomu unafikiri ni pipi?
Kama ni Pipi basi na ww pokea ukale na uwagawie na wenzio - shuwain kabasia.
 
Mnakumbuka yule naibu Mkuu wa Mkoa wa Kherson waliodai kapata ajali akafa? Imegundulika Urusi walimuua baada ya kumtumia kisha Wakaretreat. Huyu alikuwa raia wa Ukriane, Urusi walipovamia akasaliti na kujiunga Urusi. Wakampa umakamo wa Mkuu wa Mkoa. Mkuu wa Mkoa alitoka Urusi, huyu wa Ukraine alikuwa msaidizi. Urusi walipotaka kuretreat wakasema kapata ajali ambapo gari liliondolewa haraka.

Imebainika baada ya Urusi kumtumia wakamuua ili asitoe siri then Wakaretreat.

Hili ni gari la Stremusov walidai kagongana na lori kumbe gari lilipigwa ambush ya risasi
20221117_155403.jpg
20221117_155406.jpg
 
View attachment 2419678View attachment 2419679
👏👏👏Safi sana. Alipata malipo ya usaliti. Ni funzo kwa wasaliti wengine. Siku Ukraine yote ikikombolewa wataishi kwa fedheha sana.
 
Back
Top Bottom