Mnakumbuka yule naibu Mkuu wa Mkoa wa Kherson waliodai kapata ajali akafa? Imegundulika Urusi walimuua baada ya kumtumia kisha Wakaretreat. Huyu alikuwa raia wa Ukriane, Urusi walipovamia akasaliti na kujiunga Urusi. Wakampa umakamo wa Mkuu wa Mkoa. Mkuu wa Mkoa alitoka Urusi, huyu wa Ukraine alikuwa msaidizi. Urusi walipotaka kuretreat wakasema kapata ajali ambapo gari liliondolewa haraka.
Imebainika baada ya Urusi kumtumia wakamuua ili asitoe siri then Wakaretreat.
Hili ni gari la Stremusov walidai kagongana na lori kumbe gari lilipigwa ambush ya risasi
View attachment 2419678View attachment 2419679