Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

🤣🤣🤣🤣
IMG_20221122_224342_715.jpg
IMG_20221122_224343_237.jpg
 
Nina vipicha na video nyingi za Warusi walokufa Frontline. Siku nikipata muda nitapost japo post 21 za maiti tu. Kwa sasa nilikuwa sipoti sababu pro Urusi wamekuwa wadogo kama Piriton baada ya Ukraine kuikomboa Kherson. Waliaminishwa Russia haishikiki ina wanajeshi imara huwezi kuwateka, wala hawafi wala hawaretreat.
View attachment 2424463
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Back
Top Bottom