Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa ni Warusi waliogeuzwa mbolea. Hawazikwi sababu ni rutuba.
Mdau anataka Ukraine ipoteze mbolea iliyojileta yenyewe eti anauliza mbona hawazikwi. Hiyo gharama na muda wa kupoteza uko wapi? Liyewaleta Ukraine si aje kuokota/kukusanya mizoga yake akazike kama anaweza? 😳
 
Dah! Huyo binti 161756jpg hapo juu bado ni mdogo mno ki-umri, hata magwanda ni oversize kwake. Labda ingefaa apewe kazi kule nyuma-nyuma mbali e.g. sehemu za mafunzo, hospitali/vituo vya wagonjwa, viwanda vya nguo(kushona magwanda), kuandaa vyakula au kugawa misaada kwa raia walioathirika na vita n.k.
Lakini huenda ninam-underestimate. Pengine yupo front anatoa darasa kwa Mrussi.💪🔨
 
Frontline kuna kazi nyingi. Hata kuwapelekea chakula walio kwenye lindo. Wapo Frontline nadaktari, Wahandisi, Wapishi, Na qataalam mbalimbali. Si kila mtu anashika mtutu japo ni mwanajeshi. Frontline wana haki sawa.

Kuna kazi ya kupanga risasi kwenye chain. Sio rahisi. Kuweka sisasi kwenye magazine ili mpiganaji kazi yake iwe kubadilisha magazini tu. Kuna mambo mengi
 
20230111_063454.jpg
 
Hapa ni Luhansk, Urusi wameweka pyramids za zeke kuzuia Wanajeshi wa Ukraine wasivuke. Sasa watasongaje mbele? Hapa ndo Helkopta zitabeba wanajeshi wa Ukraine na kuwavusha. Urusi watashangaa
View attachment 2474843
Kazi yake hizo ni kuzuia vifaa vizito like vifaru visipite sio kuzuia skari so
Uvuke bila silaha nzito au
Ukomae kuvitoa hivyo muda huo ukakuwa kwenye shabaha ya mizinga
 
Askari wameisha sasa tufanyaje maana warusi wanatufyeka kama nyasi
Hapana mkuu; huyo anamachungu kwa nchi yake kukwapuliwa kimasihara na Mrussi halafu Mrussi huyo-huyo anaharibu miundombinu muhimu e.g. umeme n.k. yeye na vijana wenzake wanakoseshwa raha yan. Hapo ana usongo na Mrussi anataka amshikishe adabu na ampige Mrussi kama ngoma ya kienyeji.
 
Kule Soledar hali si nzuri kwa Ukraine

Bakhmut nako siyo shwari kivile.

Warusi wanatuma tu wave after wave ya maaskari. Yaani wanatumia strategy ileile ya Wachina kwenye Korea war. Kipindi hicho China ilikuwa inatuma askari baada ya askari licha ya vifo vingi sana.

Inasemekana Brigedi namba 46 ya Ukraine ipo katika wakati mgumu huko Soledar.

Sijajua kwa nini mamlaka za Ukraine hazikuamua kupeleka reinforcement za kutosha Bakhmut na Soledar, labda waliona ni mtego wa Warusi kugeuza sehemu hiyo kuwa ni sehemu ya kuulia askari kuliko kupata any significant territorial gain.
 
Kama Ukraine ameshaisoma mbinu ya Mrussi we subiria uone kitakachofuata. Ni muda tu utakaosema.
 
Kule Soledar hali si nzuri kwa Ukraine

Bakhmut nako siyo shwari kivile.

Warusi wanatuma tu wave after wave ya maaskari. Yaani wanatumia strategy ileile ya Wachina kwenye Korea war. Kipindi hicho China ilikuwa inatuma askari baada ya askari licha ya vifo vingi sana.

Inasemekana Brigedi namba 46 ya Ukraine ipo katika wakati mgumu huko Soledar.

Sijajua kwa nini mamlaka za Ukraine hazikuamua kupeleka reinforcement za kutosha Bakhmut na Soledar, labda waliona ni mtego wa Warusi kugeuza sehemu hiyo kuwa ni sehemu ya kuulia askari kuliko kupata any significant territorial gain.
Tuache kidogo. Tangu mwezi wa tisa unasema Bakhmut imechukuliwa na Urusi. Endelea kutetea upande wenu na sisi tuachie upande wetu. Kwani lazima ulete hapa upupu wako? Thread yenu ipo. Nenda mpost mafanikio ya Urusi huko. Sisi huu ni uzi wetu tunapost mafanikio yetu.

Mbona mnatangatanga. Kila uzi uncomment wewe tu.
 
Acha waendelee kujifariji kwa kupiga picha...Warusi wanamega tu nchi yao...wanafikiri social media zinamsaada...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kweli Mashabiki wa Urusi hamjielewi. Yaani hata Frontline wa Ukraine wakipiga picha zao inawauma? Na ntaendelea kupost na ntaendelea kupost za Mizoga ya Urusi ili mvimbe hadi mpasuke. Hata hivyo hii ni thread ya picha na Video sio ya propaganda.
 
Tuache kidogo. Tangu mwezi wa tisa unasema Bakhmut imechukuliwa na Urusi. Endelea kutetea upande wenu na sisi tuachie upande wetu. Kwani lazima ulete hapa upupu wako? Thread yenu ipo. Nenda mpost mafanikio ya Urusi huko. Sisi huu ni uzi wetu tunapost mafanikio yetu.

Mbona mnatangatanga. Kila uzi uncomment wewe tu.
Anyway ngoja nikustahi tu kwa leo, Kwa sababu tu nimeheshimu kazi kubwa uliyoifanya katika uzi huu. Otherwise..... ngoja nikae kimya
 
Apana mkuu wewe ndo una matatizo tena mazito , so bora ulivyo kaa kimya maana umu ndani kila mmoja anakushangaa yaani ni kama vile unatekbea uchi mbele ya umati wa wati!!
 
Back
Top Bottom