figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #10,201
Hawa ni Warusi waliogeuzwa mbolea. Hawazikwi sababu ni rutuba.Mbona hawazikwi Sasa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni Warusi waliogeuzwa mbolea. Hawazikwi sababu ni rutuba.Mbona hawazikwi Sasa ?
Mdau anataka Ukraine ipoteze mbolea iliyojileta yenyewe eti anauliza mbona hawazikwi. Hiyo gharama na muda wa kupoteza uko wapi? Liyewaleta Ukraine si aje kuokota/kukusanya mizoga yake akazike kama anaweza? 😳Hawa ni Warusi waliogeuzwa mbolea. Hawazikwi sababu ni rutuba.
Dah! Huyo binti 161756jpg hapo juu bado ni mdogo mno ki-umri, hata magwanda ni oversize kwake. Labda ingefaa apewe kazi kule nyuma-nyuma mbali e.g. sehemu za mafunzo, hospitali/vituo vya wagonjwa, viwanda vya nguo(kushona magwanda), kuandaa vyakula au kugawa misaada kwa raia walioathirika na vita n.k.Miamba hii hapa
View attachment 2476398View attachment 2476399View attachment 2476400View attachment 2476401View attachment 2476402View attachment 2476403View attachment 2476404View attachment 2476405View attachment 2476406View attachment 2476407View attachment 2476408View attachment 2476409View attachment 2476410View attachment 2476411View attachment 2476412View attachment 2476413View attachment 2476414View attachment 2476415View attachment 2476416View attachment 2476417View attachment 2476418View attachment 2476419View attachment 2476420View attachment 2476421
Frontline kuna kazi nyingi. Hata kuwapelekea chakula walio kwenye lindo. Wapo Frontline nadaktari, Wahandisi, Wapishi, Na qataalam mbalimbali. Si kila mtu anashika mtutu japo ni mwanajeshi. Frontline wana haki sawa.Dah! Huyo binti 161756jpg hapo juu bado ni mdogo mno ki-umri, hata magwanda ni oversize kwake. Labda ingefaa apewe kazi kule nyuma-nyuma mbali e.g. sehemu za mafunzo, hospitali/vituo vya wagonjwa, viwanda vya nguo(kushona magwanda), kuandaa vyakula au kugawa misaada kwa raia walioathirika na vita n.k.
Lakini huenda ninam-underestimate. Pengine yupo front anatoa darasa kwa Mrussi.💪🔨
Slava Ukraine [emoji1255]Hiki kikosi kinaitwa iInternational Legion. Kimewaua Warusi. Warusi na Wapambe wao wa Wagners wamekufa kama Sisimizi.[emoji123][emoji91]
View attachment 2476062
Slava Ukraine [emoji1255]Wamekufa kama sisimizi
View attachment 2476162
Slava Ukraine [emoji1255]Miamba hii hapa
View attachment 2476398View attachment 2476399View attachment 2476400View attachment 2476401View attachment 2476402View attachment 2476403View attachment 2476404View attachment 2476405View attachment 2476406View attachment 2476407View attachment 2476408View attachment 2476409View attachment 2476410View attachment 2476411View attachment 2476412View attachment 2476413View attachment 2476414View attachment 2476415View attachment 2476416View attachment 2476417View attachment 2476418View attachment 2476419View attachment 2476420View attachment 2476421
Kazi yake hizo ni kuzuia vifaa vizito like vifaru visipite sio kuzuia skari soHapa ni Luhansk, Urusi wameweka pyramids za zeke kuzuia Wanajeshi wa Ukraine wasivuke. Sasa watasongaje mbele? Hapa ndo Helkopta zitabeba wanajeshi wa Ukraine na kuwavusha. Urusi watashangaa
View attachment 2474843
Hapana mkuu; huyo anamachungu kwa nchi yake kukwapuliwa kimasihara na Mrussi halafu Mrussi huyo-huyo anaharibu miundombinu muhimu e.g. umeme n.k. yeye na vijana wenzake wanakoseshwa raha yan. Hapo ana usongo na Mrussi anataka amshikishe adabu na ampige Mrussi kama ngoma ya kienyeji.Askari wameisha sasa tufanyaje maana warusi wanatufyeka kama nyasi
Slava Ukraine [emoji1255]
Acha waendelee kujifariji kwa kupiga picha...Warusi wanamega tu nchi yao...wanafikiri social media zinamsaada...Miamba hii hapa
View attachment 2476398View attachment 2476399View attachment 2476400View attachment 2476401View attachment 2476402View attachment 2476403View attachment 2476404View attachment 2476405View attachment 2476406View attachment 2476407View attachment 2476408View attachment 2476409View attachment 2476410View attachment 2476411View attachment 2476412View attachment 2476413View attachment 2476414View attachment 2476415View attachment 2476416View attachment 2476417View attachment 2476418View attachment 2476419View attachment 2476420View attachment 2476421
Kama Ukraine ameshaisoma mbinu ya Mrussi we subiria uone kitakachofuata. Ni muda tu utakaosema.Kule Soledar hali si nzuri kwa Ukraine
Bakhmut nako siyo shwari kivile.
Warusi wanatuma tu wave after wave ya maaskari. Yaani wanatumia strategy ileile ya Wachina kwenye Korea war. Kipindi hicho China ilikuwa inatuma askari baada ya askari licha ya vifo vingi sana.
Inasemekana Brigedi namba 46 ya Ukraine ipo katika wakati mgumu huko Soledar.
Sijajua kwa nini mamlaka za Ukraine hazikuamua kupeleka reinforcement za kutosha Bakhmut na Soledar, labda waliona ni mtego wa Warusi kugeuza sehemu hiyo kuwa ni sehemu ya kuulia askari kuliko kupata any significant territorial gain.
Tuache kidogo. Tangu mwezi wa tisa unasema Bakhmut imechukuliwa na Urusi. Endelea kutetea upande wenu na sisi tuachie upande wetu. Kwani lazima ulete hapa upupu wako? Thread yenu ipo. Nenda mpost mafanikio ya Urusi huko. Sisi huu ni uzi wetu tunapost mafanikio yetu.Kule Soledar hali si nzuri kwa Ukraine
Bakhmut nako siyo shwari kivile.
Warusi wanatuma tu wave after wave ya maaskari. Yaani wanatumia strategy ileile ya Wachina kwenye Korea war. Kipindi hicho China ilikuwa inatuma askari baada ya askari licha ya vifo vingi sana.
Inasemekana Brigedi namba 46 ya Ukraine ipo katika wakati mgumu huko Soledar.
Sijajua kwa nini mamlaka za Ukraine hazikuamua kupeleka reinforcement za kutosha Bakhmut na Soledar, labda waliona ni mtego wa Warusi kugeuza sehemu hiyo kuwa ni sehemu ya kuulia askari kuliko kupata any significant territorial gain.
Kweli Mashabiki wa Urusi hamjielewi. Yaani hata Frontline wa Ukraine wakipiga picha zao inawauma? Na ntaendelea kupost na ntaendelea kupost za Mizoga ya Urusi ili mvimbe hadi mpasuke. Hata hivyo hii ni thread ya picha na Video sio ya propaganda.Acha waendelee kujifariji kwa kupiga picha...Warusi wanamega tu nchi yao...wanafikiri social media zinamsaada...
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Anyway ngoja nikustahi tu kwa leo, Kwa sababu tu nimeheshimu kazi kubwa uliyoifanya katika uzi huu. Otherwise..... ngoja nikae kimyaTuache kidogo. Tangu mwezi wa tisa unasema Bakhmut imechukuliwa na Urusi. Endelea kutetea upande wenu na sisi tuachie upande wetu. Kwani lazima ulete hapa upupu wako? Thread yenu ipo. Nenda mpost mafanikio ya Urusi huko. Sisi huu ni uzi wetu tunapost mafanikio yetu.
Mbona mnatangatanga. Kila uzi uncomment wewe tu.
Apana mkuu wewe ndo una matatizo tena mazito , so bora ulivyo kaa kimya maana umu ndani kila mmoja anakushangaa yaani ni kama vile unatekbea uchi mbele ya umati wa wati!!Anyway ngoja nikustahi tu kwa leo, Kwa sababu tu nimeheshimu kazi kubwa uliyoifanya katika uzi huu. Otherwise..... ngoja nikae kimya
Sawa ndugu yangu.Apana mkuu wewe ndo una matatizo tena mazito , so bora ulivyo kaa kimya maana umu ndani kila mmoja anakushangaa yaani ni kama vile unatekbea uchi mbele ya umati wa wati!!