Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

1. Wagner baada ya kuona kuna defense ngumu kuvuka mto Bakhmut kwa mashariki na kushindwa ku break frontline ya Ukraine kwa upande wa kaskazini mwa Bakhmut. Wameondoka na kuwaacha wanajeshi wa jeshi la Urusi.

2. Wagner Tarehe 9/03/2023 walienda kuanzisha offensive kusini magharibi mwa Bakhmut kuelekea Kostyantynivka. Walifanikiwa ku advance lakini wamethibitiwa.

3. Wanajeshi wengi wanaouawa kaskazini mwa Bakhmut ni wa jeshi la Urusi. Wagner wameona ngoma nzito wataisha wamewaachia wanajeshi wa Russia.
Ukraine wameweka sana nguvu kuzuia huu mji usianguke, Sasa watakuwa na manpower ya kutosha kufanya counter offensive maeneo mengine ?
 
Back
Top Bottom