Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Bakhmut wanasubiriwa Warusi hawafiki. Inabidi michezo iendelee. Tangu Ijumaa iloisha Warusi walikuwa wanasema bado km 2¹½ Kuizunguka Bakhmut. Wanasubiri nini? 🤣🤣. Sema saa nyingine wana akili. Waliwekewa mtego wakashituka. Waliambiwa njooni tuna hali mbaya kesho tunareteat, kweli baadhi vikosi vya Wagners vikaja kichwa kichwa Bakhmut🤣🤣
 
Urusi imeleta vifaru vya kizamani aina ya T-54. Hivi ndo vipambane na challenger? Nawaonea huruma hao wanajeshi watakaovitumia. Au ni wale kamandi ya Africa watapewa? Hata Tanzania kuna vifaru bora zaidi ya hivi
 
Zuzana 2 ikiwq Viunga vya Bakhmut
20230323_154445.jpg
 
Urusi iliteka watoto Kherson na kuwapeleka Urusi ili kuwafundisha mila za Kirusi na wakawabadilisha majina. Jumuiya ya kimataifa imrmkalia kooni, kaamua kuwarudisha. Urusi anaendelea kufail nia ovu yake. Wale Urusi wa kwa Mpalange waliokuwa wanafurahia watoto kutekwa na kupelekwa Urusi leo wamenuna.
 
View attachment 2562989
Mbona hii habari inajulikana na ni watoto 15 tu kati ya laki mbili karibu ndio walio rudi na hao ni wametaka wenyewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kichaa siyo lazima ale mavi. Huyu naye ni kichaa kama walivyo wengine
Mkuu; Lakini asipuuzwe. Hatujui mission yake. Huenda anatest kama akituma barua itafika na kupokelewa Marekani. Next time ataandika barua hivyo halafu afungashemo pamoja na biological weapons e.g. anthrax spores,virus n.k.
 
Siku hizi barua zinatumwa kwa emails.
 
Back
Top Bottom