Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi: Kiwanda cha kutengeneza ndege kinawaka moto.
20230407_214345.jpg
20230407_214351.jpg
 
Ila Jana Urusi wamefanikiwa kutupiga ambush ya kufa mtu Bakhmut. Balaa. Magari ya Ugavi kama 9 na Kifaru vimeteketezwa. Hasara sana
Poleni sana wapiganaji wetu, lakini kumpiga chura teke ni kumwongezea mwendo.
 
Hii bakhmut imekuwa mfupa mgumu kwa pande zote. Naona mapigano yamedumu hapo kwa muda mrefu sana inasemekana Wagner wanazidi kuuteka mji huo. Ni muda wa Ukraine kuanza counter offensive.

Mkuu Missile of the Nation umepotea sana na updates zako.
 
Back
Top Bottom