Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kufa ni mipango ya Mungu sio Matakwa ya binadamu. Tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa uhai na kuiona leo. Kila binadamu ana misukosuko. Mrusi anapigwa balaa. Soon tutakuwa active.

Nipo gado na updates za kuwaeleza jinsi Urusi anakung'utwa zinaendelea.

Mwezi wa kumi sasa Urusi anapambana kuiteka Bakhumut lakini anatoa kamasi tu.
Mkuu vizuri umerudi, ukimya ulitawala sana na hofu ikaanza juu ya wapi ulipo. Karibu tena
 
Kijana wa Urusi, Denis Dyrkin kaenda na Maji. Huyu alikuwa Blogger
20230428_155737.jpg
20230428_155742.jpg
 
Back
Top Bottom