1. Prigozhin ni msanii na mtu wa Propaganda nyingi. Kama wangekuwa hawana silaha na risasi wangekuwa wame hold almost 85% ya Bukhmut.
2. Hapo ni kwamba anataka nguvu zaidi iongezwe Bakhmut kwa kuongeza troops maana wanasiginwa/wanasagwa (Grinded) kweli kweli.
3. Warusi/Wagner wako tayari wafie wote Bakhmut ili mradi tu waikomboe Bakhmut. Wana amini kuwa wakiichukua Bakhmut yote wataathiri kisaikolojia ukrainian troops na kwamba wataionyesha dunia kuwa Wagner/Russia have the capability to hold the territories.