Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa jamaa kuikamata Bakhmut watafanikiwa. Swali ni watadumu yako wiki ngapi?

Sababu ni sehemu ya kimkakati ya Ukraine. Bakhmut ngumu hata Urusi wanajua.. Watashinda pambano ila sio Vita.

Warusi wanakufa sana Bakhmut, wanajifanya hamnazo tu

1. Ukraine wameifanya Bakhmut na Avdiivika kama trapping zones. Walishajua wagner/Russia wanaitaka Bakhmut na Avdiivika kwa gharama yoyote ile. Wanawaacha wana concentrate military equipment na troops then wanaanza kuwashughulikia. Pamoja na kwamba Ukraine nao wanapoteza wanajeshi na military equipment lakini si kwa kiwango kikubwa kama cha wagner/Russia.

2. Yes, watachukua Bakhmut yote lakini wataondoka wanajeshi wengi sana. Mashambulizi ya ndege za kivita ndo yanayoifanya Ukraine irudi nyuma. Russia wako vizuri kwa mashambulizi ya anga.

3. Very true, wataichukua Bakhmut kwa gharama kubwa lakini hawatakaa nayo muda mrefu. Counter offensive inayotarajiwa kuanza mwezi June inaweza ikawastaajabisha Wagner/Russia.
 
Nahisi Bakhmut inaweza ikawa ngumu kwa Mrusi sababu, Boss wa Wagners alipsema anaondoka Bakhmut wasipompa Silaha, ni kweli hajapewa.

Sasa nineona boss wa Chechen Ramzan Kadyrov, akiagiza majeshi yake yaende Bakhmut kama Wagners wataretreat. Natamani wauane wao kwa wao

Wagners wamepigana Bakhmut miezi 10,watakubali kumuachia Chechen ndo abebe sifa?

Wagners silaha zimewaishia.

Ukraine wanajeshi wachache, akifa mmoja ni pengo kubwa. Urusi hata wafe 50 hawajali

Wagners wakipewa silaha zinalipuliwa kitu ambacho k8nafanya Urusi ione ni Uzembe na hawana Uchungu na Vifaru vya Urusi ndo maana kapunguza supply kwao
View attachment 2612598View attachment 2612599

1. Prigozhin na kiongozi wa chechen lao ni moja na wote wanapiga drama na propaganda tu. Wote ni waajiliwa wa Russia wanapigania mkate wao. Wagner risasi wanazo za kutosha. Hata kama kuna upungufu si kwa kiwango kinachopigiwa kelele. Utaratibu wa majeshi duniani kote lazima yahakikishe frontline wana risasi za kutosha walau 3 to 6 months. Wanachofanya ni ku replenish stock tu.

2. Kiongozi wa chechen anafanya Gilba na propaganda tu. Kama kweli Wagner wameishiwa risasi iweje chechen wawe na risasi za kutosha wakati anayewapa wote ni Russia

3. Kinachofanyika sasa hivi ni kuongeza vifaru na wanajeshi Bakhmut. Wanajeshi wa wagner wazoefu wa vita (experienced solders) wanatolewa maeneo mengine kwenda Bakhmut na siyo chechen troops kama propaganda inavyopigwa.

4. Wagner kashakamata Bakhmut kwa 85%. Hawawezi kuondoka Bakhmut wakati wagner wanataka sifa kwa mwajiri kwa kuichukua Bakhmut. Siyo rahisi kumwachia Chechen achukue maujiko kiurahisi hivo.

5. Ukraine troops wanajua kuwa Prigozhin na kiongozi wa chechen wanapiga drama tu za danganya toto huku wakiona military equipment na troops zinazidi kuwa concentrated Bakhmut.
 
Urusi tuliwaambia hii vita ngumu. Sasa ona Mawingu ya moshi mweusi juu ya Moscow ni jengo linalowaka katika wilaya ya Ochakovo. Mambo kama haya yatafanya wananchi wachukie uongozi iliopo sababu wanakosa amani.
 
20230507_173853.jpg
 
Warusi wameanza kutepeta. Akili imeanza kuwarudi. Huyu ni Oligarch Andrey Kovalev
 
Hawa Warusi wameuawa katika mapambano huko Nova Basan, Mkoani Chernihiv. Inadaiwa Warusi hawaondoki na mizoga yao sababu hawa wau wanaingia Vitani wakiwa wameshalipwa.
 
Back
Top Bottom