Hawa jamaa kuikamata Bakhmut watafanikiwa. Swali ni watadumu yako wiki ngapi?
Sababu ni sehemu ya kimkakati ya Ukraine. Bakhmut ngumu hata Urusi wanajua.. Watashinda pambano ila sio Vita.
Warusi wanakufa sana Bakhmut, wanajifanya hamnazo tu
1. Ukraine wameifanya Bakhmut na Avdiivika kama trapping zones. Walishajua wagner/Russia wanaitaka Bakhmut na Avdiivika kwa gharama yoyote ile. Wanawaacha wana concentrate military equipment na troops then wanaanza kuwashughulikia. Pamoja na kwamba Ukraine nao wanapoteza wanajeshi na military equipment lakini si kwa kiwango kikubwa kama cha wagner/Russia.
2. Yes, watachukua Bakhmut yote lakini wataondoka wanajeshi wengi sana. Mashambulizi ya ndege za kivita ndo yanayoifanya Ukraine irudi nyuma. Russia wako vizuri kwa mashambulizi ya anga.
3. Very true, wataichukua Bakhmut kwa gharama kubwa lakini hawatakaa nayo muda mrefu. Counter offensive inayotarajiwa kuanza mwezi June inaweza ikawastaajabisha Wagner/Russia.