Duh! Aiee? Gharama ya ukombozi wa nchi ni kubwa sana. Mungu awafanyie wepesi wanaUkraine ili kazi hiyo iliyotukuka iishe mapema na kwa mafanikio makubwa -Amina.Frontline usitamani kufika. Baridi, jua, mvua vyote vyako
View attachment 2688451
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Aiee? Gharama ya ukombozi wa nchi ni kubwa sana. Mungu awafanyie wepesi wanaUkraine ili kazi hiyo iliyotukuka iishe mapema na kwa mafanikio makubwa -Amina.Frontline usitamani kufika. Baridi, jua, mvua vyote vyako
View attachment 2688451
Hilo daraja limelipuliwa Kwa drone za bahariniMara ya Mwisho Urusi walisema Daraja la Crimea lina Ulinzi wa anga, sasa imekuaje likaripuliwa?
View attachment 2691140
Majibu kwa uhakika wanayo ila wanaona aibu kukubali ukweli kwamba kiulinzi hapo katika daraja hilo, wamechemka jumla. Slava Ukraine💪💉🔨Mara ya Mwisho Urusi walisema Daraja la Crimea lina Ulinzi wa anga, sasa imekuaje likaripuliwa?
View attachment 2691140
Ardhi ya Supa-pawa imeshambuliwa, tusubiri majibu yake....... muhimu zaidi asizuie meli kubeba ngano za Ukraine asituue na njaa.
Wameshatoboa hawezi kuziba(Kuzuia meli) tena - ngano itaendelea kupatikana. Sasa hvi anakazi kubwa ya kuhakikisha usalama wake binafsi baada ya sintofahamu baina yake na Wagner PMC -Habari za ngano hazina nafasi tena akilini mwake.Ardhi ya Supa-pawa imeshambuliwa, tusubiri majibu yake....... muhimu zaidi asizuie meli kubeba ngano za Ukraine asituue na njaa.
Wametoboaje ili kupitisha ngano?Wameshatoboa hawezi kuziba(Kuzuia meli) tena - ngano itaendelea kupatikana. Sasa hvi anakazi kubwa ya kuhakikisha usalama wake binafsi baada ya sintofahamu baina yake na Wagner PMC -Habari za ngano hazina nafasi tena akilini mwake.
Namaanisha Hakuna tena zuio kwani Mrusi aliyekuwa anaweka shinikizo (vijana wanaita Kiwingu) hana tena uwezo huo i.e. indirectly mzozo/fitna kati ya Putin na Wagners ni advantage kwa walaji wa zao la ngano. Putin atakuwa busy na mizozo(Wagners na vikundi vya ugaidi nchini kwake) hana nafasi na habari za ngano. Au ww umeelewaje mkuu?Wametoboaje ili kupitisha ngano?
Ama kweli wahenga walisema "sikio la kufa halisikii dawa". Kwani Kipindi cha baridi si kilishapita? Je, hakuna nguo nyingine ya kukinga baridi zaidi ya combat? na ni Kwa nini wasivae kama wanavyoambiwa kwa usalama wao? Kama hakuna mbadala (alternative clothings)basi waje huku Umasaini tutawaazimisha mashuka yetu mekundu ambayo ni rahisi kutambulika hata ukiwa mbali. Naona hao ni Warusi na Tabia ya Warusi inaeleweka -wanawekaga Kibri mbele na hawaambiliki. Sasa Watatofautishwaje na askari adui mvamizi (Mrusi) anayestahili mkong'oto?Waandishi wa habari wa Urusi wanalalamika kuawa, ila tatizo lao wanajiona Makamanda na Kuvaa kijeshi. Basi wakaambiwa kama tatizo ni baridi, Wavae Helmet na Jacket yenye Nembo ya "PRESS" wanaleta Jeuri. Mfano hawa ukiambiwa ni wanahabari utakubali? Hii ndo inafanya wafe
View attachment 2696617
Bravo! Majamaa Warusi wamepoteza munitions na kuambulia patupu. Huyo suka(Dereva) wa Ukraine alokuwa akiiendesha hiyo Humvee ni ngangari kweli kweli yan hakutetereka hata kidogo licha ya makombora kurindima kulia na kushoto kwake. Hongera sana suka. 💪 💪 Slava Ukraine.Angalia Humvee ya Ukraine ilivyo watoka Warusi
View attachment 2696628
Mdogo-mdogo Warusi wataelewa tu. Elimu haina mwisho. Nashauri Ukraine wakazie hapo-hapo na wawaongezee zaidi. Macho wanayo lakini hawaoni kwani wakiona wataamini.Crimea Warusi hawaamini macho yao
View attachment 2696626
Lakini majuto ni mjukuu. Si walionywa kwamba waondoke au watabutuliwa kinyama kwa kitendo chao cha Ubeberu?Bakhmut Warusi wanajuta.
View attachment 2696624