Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20230717_151421.jpg
 
Ardhi ya Supa-pawa imeshambuliwa, tusubiri majibu yake....... muhimu zaidi asizuie meli kubeba ngano za Ukraine asituue na njaa.
Wameshatoboa hawezi kuziba(Kuzuia meli) tena - ngano itaendelea kupatikana. Sasa hvi anakazi kubwa ya kuhakikisha usalama wake binafsi baada ya sintofahamu baina yake na Wagner PMC -Habari za ngano hazina nafasi tena akilini mwake.
 
Wametoboaje ili kupitisha ngano?
 
Wametoboaje ili kupitisha ngano?
Namaanisha Hakuna tena zuio kwani Mrusi aliyekuwa anaweka shinikizo (vijana wanaita Kiwingu) hana tena uwezo huo i.e. indirectly mzozo/fitna kati ya Putin na Wagners ni advantage kwa walaji wa zao la ngano. Putin atakuwa busy na mizozo(Wagners na vikundi vya ugaidi nchini kwake) hana nafasi na habari za ngano. Au ww umeelewaje mkuu?
 
Waandishi wa habari wa Urusi wanalalamika kuawa, ila tatizo lao wanajiona Makamanda na Kuvaa kijeshi. Basi wakaambiwa kama tatizo ni baridi, Wavae Helmet na Jacket yenye Nembo ya "PRESS" wanaleta Jeuri. Mfano hawa ukiambiwa ni wanahabari utakubali? Hii ndo inafanya wafe
 
View attachment 2696617
Ama kweli wahenga walisema "sikio la kufa halisikii dawa". Kwani Kipindi cha baridi si kilishapita? Je, hakuna nguo nyingine ya kukinga baridi zaidi ya combat? na ni Kwa nini wasivae kama wanavyoambiwa kwa usalama wao? Kama hakuna mbadala (alternative clothings)basi waje huku Umasaini tutawaazimisha mashuka yetu mekundu ambayo ni rahisi kutambulika hata ukiwa mbali. Naona hao ni Warusi na Tabia ya Warusi inaeleweka -wanawekaga Kibri mbele na hawaambiliki. Sasa Watatofautishwaje na askari adui mvamizi (Mrusi) anayestahili mkong'oto?
Naunga mkono hoja. Aisee, Ukraine msifanye ajizi na kujadiliana nao hao. PIGA SANA, tena Piiga kama ngoma. Maswali ni baadaye. Aala!
Slava Ukraine.
 
Angalia Humvee ya Ukraine ilivyo watoka Warusi
View attachment 2696628
Bravo! Majamaa Warusi wamepoteza munitions na kuambulia patupu. Huyo suka(Dereva) wa Ukraine alokuwa akiiendesha hiyo Humvee ni ngangari kweli kweli yan hakutetereka hata kidogo licha ya makombora kurindima kulia na kushoto kwake. Hongera sana suka. 💪 💪 Slava Ukraine.
 
Back
Top Bottom