RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hujanielewa? Ninamaanisha kwa 35000 unaniletea Dar? Wewe si uko ZnZ?Ni kweli, si kila kitu huku kinakua rahisi kuliko huko, vitu vingine vidogo vidogo kama hivo ni bora uchukue tu huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujanielewa? Ninamaanisha kwa 35000 unaniletea Dar? Wewe si uko ZnZ?Ni kweli, si kila kitu huku kinakua rahisi kuliko huko, vitu vingine vidogo vidogo kama hivo ni bora uchukue tu huko
Yes utaipata kwa bajeti hiyohiyo mkuuHujanielewa? Ninamaanisha kwa 35000 unaniletea Dar? Wewe si uko ZnZ?
Mkuu niliposema kuichukulia hapa nimemaanisha kuipokelea hapa dar na sio kununua hapa.Ndo mana nikakuambia ukitaka tukuletee huko ni 500000, hapo ni pamaja na kodi na kila kitu, wewe unakabidhiwa tu tv yako kwa hiyo 500000, au kama apo kariakoo unapata samsung led mpya kwa 500000, ya nini usumbuke? Chukua tu huko mkuu
Karibu sana, bajeti ndo hiyoMkuu niliposema kuichukulia hapa nimemaanisha kuipokelea hapa dar na sio kununua hapa.
Kwa bajeti ya milioni moja taslimu nitapata tv inch ngapi na brand name ipi?Yes utaipata kwa bajeti hiyohiyo mkuu
Lg led 43" kwa 750000, star x smart 50" kwa 850000, star x led 55" kwa 900000Kwa bajeti ya milioni moja taslimu nitapata tv inch ngapi na brand name ipi?
kupokelewa DSM ni shilingi ngapi?Lg led 43" kwa 750000, star x smart 50" kwa 850000, star x led 55" kwa 900000
Note: hizo ni bei za kununua tu hapa bila usafiri
Tv gani?kupokelewa DSM ni shilingi ngapi?
nahitaji tv samsung sony inchi 24 hd kwa 300,000Tv gani?
Sina hizo, zipo lg 24" kwa 330000nahitaji tv samsung sony inchi 24 hd kwa 300,000
kwani uyo wakala wako wa dar hana, ingekua rahisi kwenda kucheki pale kabisa.Sina hizo, zipo lg 24" kwa 330000
Hatuna duka dar, tuna mtu tu wa kupokea na kukabizi mzigo kwa mhusika, kama unataka kuona na kukagua njoo zanzibarkwani uyo wakala wako wa dar hana, ingekua rahisi kwenda kucheki pale kabisa.
je, unazifahamu vipi tv za tcl, zina ubora gani na huwa ni imara?Hatuna duka dar, tuna mtu tu wa kupokea na kukabizi mzigo kwa mhusika, kama unataka kuona na kukagua njoo zanzibar
Ziko vizuri kiasi kwamba kama huna uwezo wa kununua hizi samsung au lg, ni tv mbadalaje, unazifahamu vipi tv za tcl, zina ubora gani na huwa ni imara?
Uvumilivu wa hali ya juu umetumika kujibu hapa. [emoji23]nahitaji tv samsung sony inchi 24 hd kwa 300,000
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Uvumilivu wa hali ya juu umetumika kujibu hapa. [emoji23]
[emoji1] [emoji1]Uvumilivu wa hali ya juu umetumika kujibu hapa. [emoji23]
Vipi ubora wa TV za Boss ukoje?Ziko vizuri kiasi kwamba kama huna uwezo wa kununua hizi samsung au lg, ni tv mbadala