Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Ni kweli, si kila kitu huku kinakua rahisi kuliko huko, vitu vingine vidogo vidogo kama hivo ni bora uchukue tu huko
Hujanielewa? Ninamaanisha kwa 35000 unaniletea Dar? Wewe si uko ZnZ?
 
Ndo mana nikakuambia ukitaka tukuletee huko ni 500000, hapo ni pamaja na kodi na kila kitu, wewe unakabidhiwa tu tv yako kwa hiyo 500000, au kama apo kariakoo unapata samsung led mpya kwa 500000, ya nini usumbuke? Chukua tu huko mkuu
Mkuu niliposema kuichukulia hapa nimemaanisha kuipokelea hapa dar na sio kununua hapa.
 
Kwa bajeti ya milioni moja taslimu nitapata tv inch ngapi na brand name ipi?
Lg led 43" kwa 750000, star x smart 50" kwa 850000, star x led 55" kwa 900000
Note: hizo ni bei za kununua tu hapa bila usafiri
 
habari wadau? mimi nahitaji flat kati ya sony, samsung au lg HD inchi 24. niana 300,000
 
kwani uyo wakala wako wa dar hana, ingekua rahisi kwenda kucheki pale kabisa.
Hatuna duka dar, tuna mtu tu wa kupokea na kukabizi mzigo kwa mhusika, kama unataka kuona na kukagua njoo zanzibar
 
Ziko vizuri kiasi kwamba kama huna uwezo wa kununua hizi samsung au lg, ni tv mbadala
Vipi ubora wa TV za Boss ukoje?
Na unazo hapo kwako kama unazo unauzaje inch 32 ya kawaida na 32 ambayo ni Boss smart TV?
 
Back
Top Bottom