Mtalebani Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 12, 2020
- 547
- 632
Bado ipo?LG smart 50" kwa 700000 tu na warranty wa mwaka nakupaView attachment 2629105View attachment 2629106
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ipo?LG smart 50" kwa 700000 tu na warranty wa mwaka nakupaView attachment 2629105View attachment 2629106
Hiyo tukishauza ila ipo nyengn kama hiyoBado ipo?
Anza wewe kwa kuonyesha mfanoWeka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
- Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
- Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
- Taja bei
- Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.(Usiwaambie watu wakufuate PM kwa Mawasiliano. Weka namba ya simu)
- Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
- Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Bei na picha?Hiyo tukishauza ila ipo nyengn kama hiyo
850,000Bei?
TUNAFANYA PIA HOME SERVICE:
KAMA tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522View attachment 2656540View attachment 2656542View attachment 2656543View attachment 2656544
Mkuu, naweza pata kioo cha LG NCH 49 LED?TUNAFANYA PIA HOME SERVICE:
KAMA tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522View attachment 2656540View attachment 2656542View attachment 2656543View attachment 2656544View attachment 2656546
Duh unaipambanisha star x na sundar kweli mkuu, hizi star x nazan zipo tofauti kuna za dubai na zachina..mimi nilinunua 2019 kariakoo kwa jamaa aliweka matangazo humuhumu, itoshe kusema hii ni tv bora kabisa quality ya picha ipo safi, mimi niliyonayo ni zile za dubai zinaufito wa dhahabu chini mana sasahivi madukani naona kuna star x nyingine hazina ule ufito wa dhahabu cjini hizo ni full black namaandishi yake ni yarangi nyeupe hizo sijazitumia cjui ubora wakeStar x ndo tv mbov kbs, niheri ukachukua sundar ama aborder Double kioo
Mpya ni 2.4MHisense smart tv 4k inch 75 bado mpya nyembamba imenyooka hizo picha tu ila ukiiona live ndo utakubariii imetumika miezii 3 inafaa kuoneshea mpira maan ni kubwa mwenyewe anashida na pesa haraka beiiii M 2.7 milion mbili na laki 7 ni check tumalizane chap 0762407301View attachment 2704529View attachment 2704530View attachment 2704531View attachment 2704535View attachment 2704534View attachment 2704532View attachment 2704533View attachment 2704536
Zipo tofaut kakaMpya ni 2.4M
Sawa kaka, Ipi nzuri?Zipo tofaut kakaView attachment 2705408
BOSS NIMESHUSHA BEIII HISENSE SMART 4K INCH 75 SLIM ULTRA NAIBWAGA KWA MILION MOJA NA LAKIII 8 WAHII CHAP UKAGUWE UONDOKE NAYO NJOO HATA NA FUNDII TV IKO CREEN HAINA HATA MCHUBUKO HAINA HATA CHAMOTO YOYOTE WAHII CHAP UJE UCHUKUE LOCATION KIGAMBONII ATAYE WAHII NAMBALIKII NA STEND ZAKE 0762407301[emoji419]View attachment 2713326View attachment 2713331View attachment 2713328View attachment 2713329View attachment 2713332View attachment 2713327View attachment 2713330