Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.


Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;

  1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
  2. Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
  3. Taja bei
  4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.(Usiwaambie watu wakufuate PM kwa Mawasiliano. Weka namba ya simu)
  5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
  6. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
Anza wewe kwa kuonyesha mfano
 
Bei na picha?
700000View attachment 2697564View attachment 2697565View attachment 2697568View attachment 2697566View attachment 2697567
20230724_110228.jpg
 
Mkuu
TUNAFANYA PIA HOME SERVICE:
KAMA tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522View attachment 2656540View attachment 2656542View attachment 2656543View attachment 2656544

TUNAFANYA PIA HOME SERVICE:
KAMA tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522View attachment 2656540View attachment 2656542View attachment 2656543View attachment 2656544View attachment 2656546
Mkuu, naweza pata kioo cha LG NCH 49 LED?
 
SONY, HITACHI,PHILIPS,MOULINEX,TEFAL,VENUS,JBL,ELECTROLUX,ARISTON

PIGA NO:0684 885 888
Tupo Mlimani City Mall DSM


Kwa mahitaji ya;
TV (SONY BRAVIA,XIAOMI,VENUS)
REFRIGERATORS
FREEZERS
CHILLER
AIRFRYER
MULTICOOKER
RADIO ZA MAGARI
SPEAKER ZA MAGARI
SOUND BAR
Cinema Sounds system
HI-FI
BLUETOOTH SPEAKERS
HEADPHONE
EARPHONES ZENYE WARRANT
EARPODS
VOICE RECORDERS
WASHING MACHINE
JUICERS
SANDWICH MAKERS
DEEP FRYER
TOASTER

NA MENGNE MENGI ZAIDI

BIZAA ORIGINAL NA ZINA WARRANT

DELIVERY TUTA ORGANIZE
 
Star x ndo tv mbov kbs, niheri ukachukua sundar ama aborder Double kioo
Duh unaipambanisha star x na sundar kweli mkuu, hizi star x nazan zipo tofauti kuna za dubai na zachina..mimi nilinunua 2019 kariakoo kwa jamaa aliweka matangazo humuhumu, itoshe kusema hii ni tv bora kabisa quality ya picha ipo safi, mimi niliyonayo ni zile za dubai zinaufito wa dhahabu chini mana sasahivi madukani naona kuna star x nyingine hazina ule ufito wa dhahabu cjini hizo ni full black namaandishi yake ni yarangi nyeupe hizo sijazitumia cjui ubora wake
 
Hisense smart tv 4k inch 75 bado mpya nyembamba imenyooka hizo picha tu ila ukiiona live ndo utakubariii imetumika miezii 3 inafaa kuoneshea mpira maan ni kubwa mwenyewe anashida na pesa haraka beiiii M 2.7 milion mbili na laki 7 ni check tumalizane chap 0762407301View attachment 2704529View attachment 2704530View attachment 2704531View attachment 2704535View attachment 2704534View attachment 2704532View attachment 2704533View attachment 2704536
Mpya ni 2.4M
 
Smart frameless nch 50 njoo nikupe kwa 690,000
0620558696
Ni offer ya siku 3 tuh
IMG-20230824-WA0018.jpg
 
📌Tv showcase
🏦200,000/=
📍Zipo kimara mwisho(bonyokwa)
📞Piga 0719478826 nikuletee
🛵Deliver nafanya mpaka mlangoni✅
👉DELIVER UNALIPIA UKIPOKEA MZIGO
 
BOSS NIMESHUSHA BEIII HISENSE SMART 4K INCH 75 SLIM ULTRA NAIBWAGA KWA MILION MOJA NA LAKIII 8 WAHII CHAP UKAGUWE UONDOKE NAYO NJOO HATA NA FUNDII TV IKO CREEN HAINA HATA MCHUBUKO HAINA HATA CHAMOTO YOYOTE WAHII CHAP UJE UCHUKUE LOCATION KIGAMBONII ATAYE WAHII NAMBALIKII NA STEND ZAKE 0762407301[emoji419]View attachment 2713326View attachment 2713331View attachment 2713328View attachment 2713329View attachment 2713332View attachment 2713327View attachment 2713330

Chief ipo hii
 
2e5f1b1e-b2da-4fbb-b5eb-461d3b6b9d54.jpg

97da3278-fbfb-4999-ad42-5d5bb662d90d.jpg

2eed6e50-55ab-41a1-9437-d8ad539299d5.jpg

e693e9ae-eba7-408b-9e49-89ef6d1af066.jpg



Screen Size
40 Inches

Brand
PHILIPS
Supported Internet Services
Roku tv
Display Technology
LED

Product Dimensions
3.6"D x 35.6"W x 20.5"H

Resolution
1080p

Refresh Rate
60 Hz

Special Feature
Flat
Included Components
TV, Remote Control, Remote, Batteries
Connectivity Technology
Wi-Fi

Price: 450k

0621217710
 
Back
Top Bottom