SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

propaganda, Israeli ndio waliomba ceasefire..
Tehran has asked Qatar, Saudi Arabia and Oman to press US President Donald Trump to use his influence on Israel to agree to an immediate ceasefire, two Iranian and three regional sources told Reuters on Monday (Jun 16).
In return, Iran will reportedly offer flexibility in nuclear negotiations with the US-Aljazeera.com
 
Mtangazaji ametimua mbio unachezea kombora haaaa haaaa.
 
Waziri wa ulinzi wa Iran amekataa..
 
Revolutinary Guards wametuma makombora yapatayo 10 ambayo ni ya urefu mkubwa na yapo njiani mida hii.

Mashambulizi haya yatakuwa ni makubwa kuwahi kutokea.

Miji ilo kwenye target ni Haifa na Tel Aviv.

Mji wa Haifa ni mji wenye bandari.

Kwanini Makombora yatumwa mida ya jioni na si mchana?

Sababu ni kwamba mchana makombora hayo ni rahisi kuonekana kwenye mitambo ya Israel na pia anga la Iran kwa sasa limezingirwa na ndege za kivita za Israel, hivyo makombora hutokea mafichoni "enroute" kwenda Israel.

Yasadikiwa kuwa makombora hayo ni yale ya kwenda kilomita kati ya 1000 na 3500 na ni ya masafa ya kati au Medium range MRBM.
 
Sidhani kama IRAN inamtu hata mmoja mwenye akili! Israel inashambulia sehemu muhimu na watu muhimu wao wanaang'aika kupiga vighorofa vya Tel aviv ambavyo myahud ata-vijenga mwez mmoja tu.Imagine mpaka mkuu wa majeshi anauliwa!!!!
Vipi pale gaza israel ina shambulia nini?😹Adui achaguliwi siraha israel anapewa dawa yake alio zoea kuwapa wenzake
 
Atabishia tena hawa ndio kobazi
 
Endelea na taarabu wakati vyuma vipo angani muda huu ni mwendo wa kukesha kwa lazima hakuna kuwapa Mazayuni muda wa kulala.

Israel wamekuwa kama Gaza muda wowote ni kuhaha tu hawaelewi leo anafuata nani kufa.

Tofauti na wenzao wa Gaza wamezoea maisha yale miaka yote sasa Mazayuni safari hii ndiyo yamekutana na moto juu ya moto.
 
Iran ni nchi yenye nguvu kwa nchi kama zetu huku bongo lala

Na Iran anaogopewa na nchi kama zetu huku bongo lala

Ngoja tusubiri kufutwa kwa wazayuni kama ni kweli
 
Usiku hayatoi mwanga au😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…