100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Nimesikia wapo mbioni kufunga strait of hormuz..Iran imeshatoa tamko punde tu, wamesema operation yao inaendelea wala haijasimama.
Nina wasiwasi alfajiri ya leo wanaweza wakawaamsha wa Israel kwa makombora.
Huyo mzee ni mnafiki sana!Kuna taarifa huko inasema Trump kawataka wote Israel na Iran wasitishe vita.
Huyu Mzee jana kaongea taarifa nyengine na leo anaongea nyengine.
Ila mkongwe unaamini Iran ataweza kuhimili vishindo vya mashambulizi ya Israel na USA kwa pamoja!?Kama US anataka atoke middle east aingie..
Israeli Channel :Kama US anataka atoke middle east aingie..
Israel jana imepigwa vibaya mno, wamepata hasarakubwa, hili Netanyahu akaona hakubali na yeye awatie hasara Iran, sasa ndipo wamefikia hapo..I think kitu ambacho wengi hawajapenda ni Netanyahu kuendeleza mashambulizi Leo
Unapo piga adui kama Iran inatakiwa shambulio 1 la uhakika unasubili akurudishie kila Mtu auchune sasa paka yeye bado hajatosheka
Ana hatarisha zaid maisha ya raia na zaid ni pilot wa fighter jet ambao wanaenda kuvamia uku adui anajua wazi kuna shambulio tofauti na lile shambulio la kwanza lililo wakuta Iran off guard wapo uchi
Isijekuwa amefukiwa na kifusi, halafu wanatuzuga kuwa amejiuzuru!Inaonekana kuna mivutano ya ndani, nadhani kuna ambao hawakupenda idea ya Nyau kuanza kuishambulia Iran, Neta ni mbishi sana, sasa ngoja apate anachokitaka..
HUyo mtototoo huyoooo ,mtoto kautaka .Tupo live muda huu Iran keshaanza kazi.
Huu uzi utakua na updates za kila kinachoendelea muda huu.
Update:Makombora ya Iran yameanza kutua
#BREAKING
[emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599]
Channel 10 Hebrew:
Pakistan informed America that any nuclear attack on Iran would be met with a Pakistani nuclear attack on Israel.
Pakistan informed France and America that if any country intervenes directly in the war against Iran and Israel, the Pakistani army will enter the war with Iran against Israel.
Update:
#BREAKING
Direct hits on refineries/facilities in Haifa. Fires break out following strikes.
BREAKING: IRAN MAJOR SUCCESS IN ISRAEL BOMBING
This is the largest and most successful Iranian missile operation on Israel
✅ Great success for the Iranian missile strike on economic facilities in occupied Haifa
✅ Iranian missiles defeat Israeli air defenses
✅ Iran uses hundreds of military bases in various cities and provinces
Haifa's most important chemical and petrochemical plants:
✅ Bazan Group
✅ The largest oil refinery in Israel, with a refining capacity of approximately 9.8 million tons per year, and includes subsidiaries such as Carmel Olefins and Gadiv Petrochemical.
UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.
Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa
UPDATES⚡⚡
#BREAKING
The head of the Shin Bet has resigned.
UPDATES:⚡⚡⚡⚡⚡
WIMBI LA PILI LA MAKOMBORA LINATARAJIWA DAKIKA CHACHE TENA NOW
⚡️ Hebrew media: The second wave of ballistic missiles has been launched from Iran and we will witness early warning sirens within 15 minutes.
Wakifunga hii itakuwa hatari!Nimesikia wapo mbioni kufunga strait of hormuz..
Hii ni ishara ya serikali ya Neta kuanguka, kama mkuu wa Shin Bet kajiuzulu, hali si nzuri..
Ni kweli raia wengi hawampendi Neta....Na hii inaweza kuwa mwisho wa Neta kisiasaHii ni ishara ya serikali ya Neta kuanguka, kama mkuu wa Shin Bet kajiuzulu, hali si nzuri..
Na nilisema Iran ikiendelea na hii campaign, Neta anatoka madarakani.. wananchi wengi hawajapenda, a hao wanapigana kuna ambao hawa support na kuna ambao wana support, lakini wengi hawataki hii vita..
Tatizo la Trump analeta mikwara ya ubabe wa miaka ya 80.Huyo mzee ni mnafiki sana!
Nadhani kuna namna ndio maana mpaka sasa hajaungana na Israel kumpiga Iran, either wakubwa wenzake wanamzuia kuingilia hii vita direct au anasikilizia vuguvugu ambalo linaendelea kwenye nchi yake.
Hapo itakuwa kuna Waisrael wana asili ya Iran, Mazayuni wanataka kuwafukuza!!!