SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mashirika ya bima hapa ndio watu wanajipigia hela za bure. Hakuna shirika linaweza ku cover hasara yote hiyo ya majengo na vyombo vya usafiri in either part. Israel and Iran.

Watajikusanyia hela na kusepa
 
Netanyahu already forbid airlines to evacuate people. They are flooding the Sinai and Jordanian border.

Population was down 1.5m from pre- Oct 7. If another 2m leave then it will be a failed state with more Arab “Israelis” than Jews.
 
Baadhi ya vyombo vya habari vinadai kuwa Israel imefunga Internet ili video za mashambulizi ya Iran zisienee mitandaoni.

Your browser is not able to display this video.


Tulia hvyo hvyo , Isarel anamtafta mtu mmoja tuu amuue aendelee na harakat zingine, naye ni Ayatollah , jambo la kwanza anatakiwa asitoroke ,
Your browser is not able to display this video.
 
BREAKING! Israeli outlet i24, citing a U.S. official, reports that preparations are underway for Washington to join the war — if Trump gives the green light.
 
Israeli fighter jets have been seen armed with inexpensive glide bombs. Air superiority means it doesn't need to expend costly stand-off missiles.

Baada ya Israel kumiliki anga la Iran,sasa hivi wameanza kutumia mabomu ya bei rahisi ambayo sio expensive kama guided missile yanayofyatuliwa kutoka mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…