SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Alirudi kuendelea na habari baada ya dk kadhaa tu, ila alikua na huzuni wenzie Kama wawili walienda
Amepoa Utadhani sio yule aliyekuwa anaropoka kabla ya bomu kurushwa 😂
 
Israel haina uwezo wa kuhimili mapigo kiasi kile, wananchi wameanza kukimbia nchi Netanyahu anazuia..
Ni rahisi kuigeuza Israel kama Gaza kuliko Iran..
Israel anapiga Kwa mipango ila Iran yeye anapiga tu ilimradi amepiga Israel akifanya kama Iran kelele za genocide zitaanza wakati Sasa hivi wote kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…