Kuna ballistic Iran Malaki na Malaki hizo unazoziona ni za mwaka 78, halafu vita Bado mbichi hii unataka ajimalize watu Wanatumia akili na uzalishaji Bado unaendeleaKutoka kurusha makombora 300 hadi 10 πππ
πππππ Za mwaka 78Kuna ballistic Iran Malaki na Malaki hizo unazoziona ni za mwaka 78, halafu vita Bado mbichi hii unataka ajimalize watu Wanatumia akili na uzalishaji Bado unaendelea
Iran jumla ana ballistic missile 2k mpaka 3k,kwa mujibu wa Marekani. Sasa piga hesabu tangu vita ianze plus zinazoharibiwa kila siku na Israel kabla hajarusha huko store na kwenye silos zake zitabaki ngapi.Kutoka kurusha makombora 300 hadi 10 πππ
Unadhani Iron dome umeundwa kisiasa?Iron Dome imejifail na ikapiga jengo na kuua raia watatu papo hapo!! Mifumo yenyewe imechanganyikiwa
Targeting vs AttackingIsrael anapiga Kwa mipango ila Iran yeye anapiga tu ilimradi amepiga Israel akifanya kama Iran kelele za genocide zitaanza wakati Sasa hivi wote kimya
Mshaanza kutafuta vichaka,nilisema hapa Iran hatamaliza wiki kabla hajatepeta. Kwa mwenendo na speed yake ya leo nimeanza kuamini yale maneno ya Trump kuwa Iran anawatumia Oman,Qatar na Saudi kuomba vita visimame warudi mezani.Kuna ballistic Iran Malaki na Malaki hizo unazoziona ni za mwaka 78, halafu vita Bado mbichi hii unataka ajimalize watu Wanatumia akili na uzalishaji Bado unaendelea
Soma hapoKuna ballistic Iran Malaki na Malaki hizo unazoziona ni za mwaka 78, halafu vita Bado mbichi hii unataka ajimalize watu Wanatumia akili na uzalishaji Bado unaendelea
Kila siku zinaundwa mpya zaidi ya 50 viwanda viko chini hukoIran jumla ana ballistic missile 2k mpaka 3k,kwa mujibu wa Marekani. Sasa piga hesabu tangu vita ianze plus zinazoharibiwa kila siku na Israel kabla hajarusha huko store na kwenye silos zake zitabaki ngapi.
Hayo mashambulizi yapo wapi?Iran wametoa tahadhari leo, mashambulizi ya leo hajawahi kutokea toka vita vinaanza..
Subiri uone hapa lengo la Ayatola ni nyie mkeshe hivyo mzigo mtahangaika nao muda ya wangaMshaanza kutafuta vichaka,nilisema hapa Iran hatamaliza wiki kabla hajatepeta. Kwa mwenendo na speed yake ya leo nimeanza kuamini yale maneno ya Trump kuwa Iran anawatumia Oman,Qatar na Saudi kuomba vita visimame warudi mezani.
Teh teh teh ndio maana mwenzenu Webabu kaamua kukimbia jukwaa kaona Iran anamtia aibu.Kila siku zinaundwa mpya zaidi ya 50 viwanda viko chini huko
Leo zimeingia drones zaidi ya 150 na Bado zinaendaHayo mashambulizi yapo wapi?
Wajinga kweli hao Israel anachezewa na Iran sasa Air defense zililala mpaa kabla ya dakika.mbili kufika hizo Missiles ndio zikashtuka kama kuna Missiles zinakuja.Kuna ballistic Iran Malaki na Malaki hizo unazoziona ni za mwaka 78, halafu vita Bado mbichi hii unataka ajimalize watu Wanatumia akili na uzalishaji Bado unaendelea
Iran leo wanasema wanaipiga Israel namna ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Israel..Kutoka kurusha makombora 300 hadi 10 πππ
Drones zinatumia muda, wanatanguliza drones halafu makombora yanakuja nyuma, makombora ni dakika chache..Leo zimeingia drones zaidi ya 150 na Bado zinaenda
Kwa hiyo ballistic missile zimekata?Leo zimeingia drones zaidi ya 150 na Bado zinaenda