Nahisi kuna muda Iran anautegea abadilishe ratiba, ana shift kuna usiku kwenda mchana... Kwasasa anatengeneza hali ya uchovu kwa adui... Kuna siku atapiga mchana kweupeIranian official:
- We will launch a series of missiles every hour until dawn.
We will not sleep and we will not let our enemy sleep.
Nenda BBC na Aljazeera muda huu,Raia wameambiwa watoke kwenye mahandani missile zote zimepanguswa.Iran inateremsha vinu, Israel imepiga marufuku picha za mashambulizi ya Iran kuwekwa mitandaoni, waandishi wanafanyiwa raid na police na kukamawa, wananchi wanaopost pia wanakamatwa..
Lakini kwa ubishi video na picha zitakuja, stay tuned..
Sawa,tupo hapaHata Iran bado ajaanza kuangusha magorofa hayo yaliyo pigwa ni target za kijeshi
Kwa sasa kazi ndiyo imeanza uwezo wa Israel kuzuia makombora umesha momozoka kwa asilimia 60%Israel nae aanze kuangusha maghorofa ya Raia ya Tehran?
Acha uongo, Iran imesema inashambulia usiku kucha..Nenda BBC na Aljazeera muda huu,Raia wameambiwa watoke kwenye mahandani missile zote zimepanguswa.
Namshangaa, ka vile ana angalia hizi taarifa mwenyewe.Acha uongo, Iran imesema inashambulia usiku kucha..
Hapa nipo aljazeeralive.. hakuna kitu kama hiko..
Leteni picha na video sasa zikishukaAcha uongo, Iran imesema inashambulia usiku kucha..
Hapa nipo aljazeeralive.. hakuna kitu kama hiko..
So kweli, labda waanze tena mshambulizi baadae. Ila waliofanya kwa leo washapiga japo yalikua machacheAcha uongo, Iran imesema inashambulia usiku kucha..
Hapa nipo aljazeeralive.. hakuna kitu kama hiko..
Leo Iran imefeli kwenye kushambulia, itakua missile zimepungua maana wametumia muda mfupi sana, japo Kuna sehemu wefanikiwa kupiga.Leteni picha na video sasa zikishuka
Nimekuletea hii,angalia muda hapo juuAcha uongo, Iran imesema inashambulia usiku kucha..
Hapa nipo aljazeeralive.. hakuna kitu kama hiko..
Tehran inawaka moto muda huu,Trump katoa order Raia waondoke TehranNamshangaa, ka vile ana angalia hizi taarifa mwenyewe.
watu hawalali mchawi mirungi na Bomba au big g
Washaanza kuondoka muda huuTehran inawaka moto muda huu,Trump katoa order Raia waondoke Tehran
Vitoto vya kiyahudi hadi vimeanza kujua kiswahili naskia kinaita mamaa mamaa baada ya kuona vyuma vinatua kikatiliKwa sasa kazi ndiyo imeanza uwezo wa Israel kuzuia makombora umesha momozoka kwa asilimia 60%
View: https://youtu.be/CthX4uKd6II?si=4N3d4Hg1oocTb3wG
Mashambulizi ya leo ya Iran yalikua machache na wamepiga kwa muda mfupiVitoto vya kiyahudi hadi vimeanza kujua kiswahili naskia kinaita mamaa mamaa baada ya kuona vyuma vinatua kikatili
Pata chuma hichoVitoto vya kiyahudi hadi vimeanza kujua kiswahili naskia kinaita mamaa mamaa baada ya kuona vyuma vinatua kikatili