SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Drones are going to Israel from Syria.

Missiles are said to be landing in areas of occupied land and other locations.

Israel ADS is tyring to stop the missiles.
 
Chui wa karatasi katandikwa mpas Trump kachanganyikiwa ameamua aje kumuokoa israel ye ndio kaingia vitani sasa hahaha
Bado hawajaingia full, jibu litatoka saa chache zijazo lakini order yake ya watu kuondoka Tehran imechukuliwa kwa uzito na watu wanaondoka usiku huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…