SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

US akingia hi vita atatandikwa tu na Iran hapo Gulf states yatabebwa masanduki ya maiti wakimarekani
Unaongea ushabiki, Iran nawakubali wana/walikua na nguvu kubwa lakini kilichoaangusha ni high level of infiltration. Huwezi kushinda ikiwa ndani una mamluki wengi kiasi kile. Kwa sasa nguvu yao yote imepungua na inasemekana hakuna trust kati ya Khamenei na new generals appointed. Inaonekana Kuna generals ni mamluki
 
Hahaha anazuia Media kaziweka mbali ili wasitoe aibu anavyo tandikwa Missiles zimepenya kama kawaida wanajidai wame intercept wambieni watuonyeshe hahaha
Media zinaripoti China tv wapo live kila siku. Lakini pia hta Kama watu ndani ya Israel wote wamezuiliwa bado watu wa mataifa mengine kama Jordan au lebanon wangeonyesha hizo missiles zikipita Kama ambavyo siku zote huonyesha
 
Leo wamekandwa na kitu ambacho hawakioni .
********
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท | Hebrew media confirmed: โ€œWe no longer see these missiles โ€” they just strike.โ€ This suggests the missiles were launched hours earlier, possibly in two waves. Zionist sources appear to be concealing the full timeline through coordinated censorship operations.

๐Ÿ”น@enemywatc
 
Media zinaripoti China tv wapo live kila siku. Lakini pia hta Kama watu ndani ya Israel wote wamezuiliwa bado watu wa mataifa mengine kama Jordan au lebanon wangeonyesha hizo missiles zikipita Kama ambavyo siku zote huonyesha
Huyo kashapagawa na aibu juu,aibu waliyopata kwa Hezbollah inawapata tena kwa Iran.
 
Hakuna picha wala video zake?
 
Nilikuambia hio vitu vinashuka wao hawavioni afu kawakufuza Media wote kawaweka.mbali anajidai ka intercept Missiles sa mbona hatuonyeshi.kama alivyo kuwa anatuonyesha kwenye vita ya Gaza.
 
Hii imetokea muda gani? Maana nipo live kwa media zote pro iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ