SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Muajemi kaamua ,show show mpaka kuna kucha
Matokeo ya shoo sasa.......kafa mtu mmoja ten kikongwe,

Sasa nenda kwa Israel kipondo chake utakuta kauua waajemi kibao na viongoz wa jeshi wakiwemo
 
⚡️ Israeli media: Missiles fall in the Rehovot area.
 
Matokeo ya shoo sasa.......kafa mtu mmoja ten kikongwe,

Sasa nenda kwa Israel kipondo chake utakuta kauua waajemi kibao na viongoz wa jeshi wakiwemo
Kichwa mbupu umekuja kuleta stori za ushabiki vijiwe vyenu vya bodaboda
kalale kenge wewe kesho upeleke hesabu kamili kwa tajiri kobaaaz
 
Kichwa mbupu umekuja kuleta stori za ushabiki vijiwe vyenu vya bodaboda
kalale kenge wewe kesho upeleke hesabu kamili kwa tajiri kobaaaz
Tatizo Kobaaz mabusha ulikimbia shule hivyo uelewa wako duni sana unachojua wewe kula ubwabwa na tende za waarab akili za kufikiri uzitoe wapi
 
Tatizo Kobaaz mabusha ulikimbia shule hivyo uelewa wako duni sana unachojua wewe kula ubwabwa na tende za waarab akili za kufikiri uzitoe wapi
kichwa pumbu wewe na ukoo wenu mzima hamtafikia my academic qualification kuanzia nilichosomea na nchi niliosomea
Wewe kilaza majibu yako tu yanaonyesha elimu ilikupita kushoto
 
Ebu tulieni naona kuna mashabiki wa Israel na irani ila vita sio rahisi pia Israel awezi kuanzisha kitu asichokiweza pia iran sio wa kumchukulia poa time will tell

Kwa mapigo haya wakija bongo tumekwisha ndani ya nusu saa

Ndio kwanza jeshi liko busy kuajili form four failure......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…