Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Dawa ishamwingia sana sahivi tunataka tumu overdose, yule baada ya siku 2 3 ataanza rusha missiles 2 kama wahouthMossad HQ is Down.
Iran pia kama dawa imeanza kuingia uwezo wa kurusha makombora tumeshuka KWA Kasi.
Iran wanaokimbia ni wakaazi wa Tehran tu.Kwamba Iran penyewe watu wanasinzia, watu wako na siku 3 kwenye foleni za magari wanakimbia
Afadhali Israel hata kwenye shelter zao unasinzia tena vizuri
Mnatulingishia udukuzi.
Propaganda propaganda hazitawasaidia Israel.Ndugu zangu.
Tunashuhudia Dharau kubwa kutoka kwa watoto wazuri mademu wabichi wabichi wa tiifu kamanda wa israel wakirusha ndege vita kwenye anga la iran pasi na kizuizi chochote kumcharaza bakora ayatollah al kamenei kwa lengo la kumsogeza karibu na mabikra 72 huko haera mpaka mpango wake wa nucler uishe.
Hii ni fedheha kwa taifa linalijiita jamuhuri ya kiislam ya nchi za kiarabu kucharazwa na watoto wa kike ni heri ayatollah aache kiburi na jeuri kukwepa aibu hii.
Nitajie idadi ya hao watu wanaokimbia mjini Tehran na ubaya kwenye interview zao wanasema hawajui wanaenda wapiIran wanaokimbia ni wakaazi wa Tehran tu.
Wanakimbia mji mkuu wanaenda miji mingine mitulivu.
Ila Israel nzima hakuna anayelala.
Nitajie sehemu Israel iko na utulivu?
Hawajui wanaenda wapi ila ni ndani ya nchi.Nitajie idadi ya hao watu wanaokimbia mjini Tehran na ubaya kwenye interview zao wanasema hawajui wanaenda wapi
Leta taarifa ambayo inasema yote yalitunguliwaWameanza kutema bungo lamamaye.
Madhara ya shambulizi la jana usiku.
Si wamesema wamedungua makombora yote?View attachment 3372796
Hata muue na anayeapishwa leo vyuma viko pale pale tu hadi mteme bungo.Sema hii vita Iran hashindi na ataachwa hoi vibaya sana plus makundi yake yote
Muda huu naenda kwenye msiba wa afisa wenu aliapishwa juzi akafa leo
Kwamba Iran penyewe watu wanasinzia, watu wako na siku 3 kwenye foleni za magari wanakimbia
Afadhali Israel hata kwenye shelter zao unasinzia tena vizuri
Wenzako walisema humu yote yamedunguliwa.Leta taarifa ambayo inasema yote yalitunguliwa
Iran penye taharuki ni Tehran tu.
Walitaka wakimbilie Pakistan jamaa wakawakataa hawataki wakimbizi wakafunga mipakaHawajui wanaenda wapi ila ni ndani ya nchi.
Mji mkuu wa Tehran una wakaazi wengi zaidi ya 8 millions.
Ila wako internal displaced.
Raia wa Israel wanakimbia nchi kabisa.
Nani ana uafadhali?
Kutesa kwa zamu yooooh!!!Mossad HQ is Down.
Iran pia kama dawa imeanza kuingia uwezo wa kurusha makombora tumeshuka KWA Kasi.
Kina nani walitaka wakimbilie Pakistan??Walitaka wakimbilie Pakistan jamaa wakawakataa hawataki wakimbizi wakafunga mipaka
Jiji la Tehran lina watu wapatao milioni 15 sema wengi ni choka mbaya kama Chanika
Sio mimi na taarifa pekee ya IDF waliwahi sema wametungua makombora yote ilikuwa ni shambulio la juzi mchana la IranWenzako walisema humu yote yamedunguliwa.
Tena nahisi na wewe ukiwa mmoja wapo.