SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Prince atarudishwa kwenye throne yake

View: https://youtu.be/WsdpoXSJqvM?t=10
 
Hakuna hata mmoja aliyekufa ni propaganda za Western Media..
Wala sio propaganda ni kweli wameuliwa. Hii habari wala sio kwa edia za Western tu, Iran wamethibitisha na media za Iran zimethibitisha, pia media za China, al Jazeera na nyingine.. na hata replacement ya hao makamanda waliouawa ilishafanyika

 
Mkuu ni channel gani reliable kwenye Telegram?
Anakupotezea tu muda, media reliable zipo kwenye mitandao yote. Haiwezekani media ya nchi husika ikupe habari ya propaganda kwenye Instagram alafu kwa habari hiyo hiyo ikupe ukweli kupitia telegram. Au telegram Kuna malaika alafu Instagram na Twitter Kuna mashetani?
 



Iranian Ambassador to the UN : If we conclude that the United States is directly involved in attacks on Iran, we will begin to respond.

The Iranians are doing everything possible to cause president trump to join the war. Threatening America is the last thing g that will deter him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…