SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wana usalama Iran wamekuta kilogramu 127 za vilipuzi kwenye nyumba mjini Tehran..
Mossad bado wanapigiwa msako mkali..
Too late mpaka ukiona counterterrorism mna kua active baada ya kushambuliwa badala ya kuzuia na kutibua mipango kabla ya kuleta madhara ndani ya nchi ujue kuna loophole kwenye idala

Sleeper Agents wa mossad bado wapo wengi mbaya zaidi Wengi ni warabu na kutoka India
 
mfuaji
 
Iran ni kubwa jinga sana aisee la nchi kama Israel kamemchezeshea kichapo kikali sana daah
 
Mossad muoga kinyama 🤣 itakuwa ni muhindi huyu
 
Hizi habari za kufanya mazungumzo ni kama uzushi.
Maana viongozi wa Iran wanaongea tofauti.
Wacha iwe kweli ndugu yangu shatani apite hiii Vita mshindi kupatikana ni Shida!!!

Iran atapiga lkn nayeye atapigwa vifo vitakuwa vingi.. !!!

Israel imetumia Ugaid kupiga Battery za ADS sio Kijesh !!!

kama sio ivyo ISRAEL ingelazimika kuSurrender !!!

zipo crip Waisrael wanasikika baada kuona kiponda kuwa kikubwa waliomba Serikali yao kuSurrender kwa Iran.
 
Hakuna kipya,ni kawaida na ni kiapo kwa Jasusi kujiua maana adhabu yao inafahamika
 
Sasa hii itakuwa ni ( +)punishment au (-)
 

Attachments

  • TikTok_7517074342853872926.mp4
    4.4 MB
Waisrael waliomba kusurrender kwa Iran? Hii si kweli
Lakini pia sio waisrael wote wanapenda kinachoendelea na sio wpte wanampenda Netanyahu
Hivyo hivyo kwa Iran pia, wapo wananchi wa Iran hata sasa wanataka Iran kusurrender kwa Israel.

Moral of the story ni kuwa lazima kuna wananchi wachche watakua wanataka jambo fulani, hivyo haihalalishi kuwa nchi nzima inataka hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…